Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   

 
 
Blogs
 
Habari za michezo
 
  Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
MABAO ya Gaudence Mwaikimba na John Bocco ‘Adebayor’ kipindi kwanza na cha pili yametosha kuihakikishia Azam FC ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/2014, baada ya kuwafunga wenyeji Mbeya City 2-1 Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya ...

  MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
MWENYEKITI wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji ametangaza kutogombea tena nafasi hiyo ili kuweza kuwapisha wengine kuongoza klabu hiyo. ...

  Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
Vijana wa Jangwani, Yanga wameshindwa kulinda magoli matatu waliyoyapata kipindi cha kwanza na kuwaruhusu Simba kusawazisha magoli yote kwenye kipindi cha pili. Mechi imeisha Simba 3 - Yanga 3. ...

  LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
Umeikosa mechi ya Taifa Stars na Ivory Coast au je ulifurahishwa na kiwango cha soka cha Stars pamoja na kufungwa 4-2 na ungependa kuiangalia tena mechi hii full mwanzo mpaka mwisho basi Nifahamishe.com imekuwekea tayari mechi hii. Angalia hapa chini ...

  Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
Taifa Stars imelala kiume kwa Morocco kwa kukubali kipigo cha bao 2-1 toka kwa wenyeji Morocco. Taifa Stars pamoja na kufungwa ilionyesha kiwango cha soka cha hali ya juu ingawa ilicheza kwa muda mrefu ikiwa pungufu baada ya Agrey Morris kupewa kadi nyekundu kwenye dakika ya 37. ...

   Habari zaidi za michezo
Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza
Simba Yalowa Sudan, Yafungwa 9-8 Kwa Penalti
Simba Yaibugiza Yanga 5-0
Simba Yaitafuna Al Ahly ya Sudan 3-0
Chelsea Yaibanjua Barcelona, Yatinga Fainali
Simba Yasonga Mbele Kombe la CAF, Yaitupa Nje ES Setif
 

 

Photo Gallery
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Latest News
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD