Life Style

PICHA - VIDEO - Urafiki Huu Utamalizika Kwa Machozi
Hakuna asiyejua kuwa hakuna urafiki kati ya binadamu na wanyama hatari wa porini kama simba na chui. Hali ni tofauti kwa bilionea huyu wa nchi za kiarabu ambaye katika kuonyesha utajiri wake huonyesha jinsi anavyoishi na kucheza na simba na chui. ... Full Story

Wivu wa Mapenzi Wapelekea Aukate Uume wa Mumewe
Mwanamke mmoja wa nchini Marekani anakabiliwa na kifungo cha muda mrefu jela baada ya kuukata uume wa mumewe kwa kisu cha inchi 10 baada ya kugundua kuwa mumewe alikuwa kwenye mahusiano na mpenzi wake wa zamani. ... Full Story

Sidiria za Umeme Zatengenezwa ili Kupambana na Wabakaji
Kundi la wanafunzi nchini India limefanikiwa kutengeneza sidiria za umeme ili kuwafanya wanawake waweze kujilinda wakati wa matukio ya ubakaji kwa kuwapiga shoti wabakaji. ... Full Story

VIDEO - Ushoga Unavyoenea Kwa Kasi Afrika
Ushoga unaenea kwa kasi na unaanza kukubalika katika baadhi ya jamii na kuonekana kama kitu cha kawaida. Hii imejidhihirisha nchini Afrika Kusini ambapo ndoa ya mwanaume kwa mwanaume imefanyika na kuhudhuriwa na watu wengi. ... Full Story

VIDEO - Chachu ya Mapenzi - ' Nakupenda Mpenzi Nisamehe'
Kijana mmoja wa nchini Marekani amekuwa gumzo duniani baada ya kuandaa video akilia kusamehewa na mpenzi wake lakini mpenzi wake huyo akaamua kuianika kwenye internet video hiyo na kumfanya mwanaume huyo awe kituko. ... Full Story

Ndoa ya Miaka Minne Yavunjika Kwa Sababu ya Udogo wa Uume
Mwanamke mmoja nchini Taiwan amedai talaka mahakamani toka kwa mumewe wa miaka minne kutokana na udogo wa maumbile yake ya kiume na pia kwa kushindwa kutimiza ahadi ya kutoa unyumba mara tatu kwa wiki. ... Full Story

Maandamano Kupinga Kufungwa kwa Kumbi Za Starehe, Misri
Wanawake wachezao nusu uchi maarufu kama Raqaswa sharkii wanapanga kufanya maandamano makubwa kwenda Ikulu kupinga hatua ya rais wa Misri, Mohamed Morsi kuzifunga kumbi za starehe nchini humo, ambazo walikuwa wakifanya kazi. ... Full Story

Makahaba wastaafu baada ya kulala na wanaume zaidi ya Laki Tatu
Wanawake mapacha wa nchini Uholanzi wameamua kuachana na biashara ya ukahaba ambayo waliyokuwa wakiifanya kwa muda wa miaka 50 sasa, Louise na Martine Fokkerns (70) wazee hao wameamua kuacha biashara ya ukahaba baada ya kulala na wanaume 355,000. ... Full Story

Aweka Sumu Ukeni ili Kumuua Mumewe Akiziramba Sehemu Zake za Siri
Mwanamke mmoja wa nchini Brazili amefikishwa mahakamani kufuatia jaribio lake la kumuua mumewe kwa kuweka sumu kwenye sehemu zake za siri na kisha kumtaka mumewe azamie kuziramba sehemu zake za siri kabla hawajafanya tendo la ndoa. ... Full Story

Hii Sio Mchina, Mwanamke Mwenye Mahispsi Makubwa Kuliko Wote Duniani
Kama umesikia wanaume wanaweza kuvunja shingo wakigeuka kumuangalia mwanamke akipita, basi huyu mwanamke atakuwa ameishavunja shingo za wanaume wengi, makalio yake na mahispi yake ya asili yamemfanya awe mwanamke mwenye mahispi makubwa kuliko wanawake wote duniani. ... Full Story

VIDEO - Jeuri ya Pesa , Atengeneza Shati la Dhahabu
Ukisikia jeuri ya pesa ndiyo hii, tajiri mmoja nchini India aliwaajiri masonara 15 ili wamtengenezee shati la dhahabu tupu ili aweze kuwavutia wanawake wampende na wajipendekeze kwake. ... Full Story

Anauza Bikira Yake ili Kupata Pesa za Kumtibia Mama Yake
Mwanamke mmoja wa nchini Brazil mwenye umri wa miaka 18 ameiweka bikira yake sokoni akiinadi ili apate pesa za matibabu ya mama yake ambaye ni mgonjwa. ... Full Story

VIDEO - Mwanamke Ajizalisha Mwenyewe Ndani ya Basi
Katika tukio ambalo limewashangaza wengi, mwanamke mmoja nchini Chini alijizalisha mwenyewe bila ya msaada wa mtu yeyote wakati akiwa ndani ya basi pamoja na abiria wengine akienda hospitali. ... Full Story

' Mike Tyson Sio Shoga' - Magazeti Ya Afrika Yadanganyika na Uzushi
Magazeti katika nchi nyingi za kiafrika yamedanganyika na stori kwenye tovuti ya kiingereza iliyotolewa kama masihara ikidai kuwa bingwa wa zamani wa ndondi duniani Mike Tyson amebadili jnsi kuwa mwanamke na uume wake umeondolewa na kupandikizwa uke. ... Full Story

'Dola Milioni 5 Kwa Atakayenioa'
Mwanamke Mmoja Mfanyabiashara nchini Saudia Arabia ametangaza kutoa donge nono la dola milioni 5 kwa mwanaume yoyote atakayejitokeza na kufunga naye pingu za maisha, ameyasema hayo mbele ya vyombo vya habari. ... Full Story

Laptop Zinaua Nguvu za Kiume na Kuharibu Mbegu za Kiume
Imethibitishwa kitaalamu kuwa joto linalotolewa na laptop inapotumika ikiwa mapajani hupelekea kuharibika kwa mbegu za kiume na kuwafanya wanaume washindwe kupata watoto na wapenzi wao. ... Full Story

Janet Jackson Asilimu, Kufunga Ndoa na Bilionea wa Qatar
Nyota wa muziki wa Marekani na dada wa aliyekuwa mfalme wa muziki wa Pop, Janet Jackson amebadili dini kuwa muislamu na atafunga ndoa ya kifahari na mpenzi wake bilionea wa Qatar, kwa watakaohudhuria kila mmoja atapewa zawadi ya saa ya Milioni 20. ... Full Story

Waziri wa Ufaransa Hajui Nani Aliyempa Mimba, Alikuwa na Mabwana 8
Aliyekuwa waziri wa kwanza mwanamke wa sheria nchini Ufaransa, Rachida Dati amedaiwa kuwa hajui nani ndiye baba wa mtoto wake kwakuwa alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na wanaume wanane kwa kipindi kimoja. ... Full Story

Amshitaki Mkewe Kwa Kuwa na Sura Mbaya, Ashinda Kesi Alipwa Mamilioni
Mwanaume mmoja nchini China alishtuka baada ya mkewe kuzaa mtoto mwenye sura mbaya na aliamua kumfikisha mkewe mahakamani kwa kutomjulisha kuwa sura yake nzuri ilitokana na operesheni za kubadilisha sura, alishinda kesi na kuzawadia fidia ya mamilioni. ... Full Story

VIDEO - Azifunga Kufuli Sehemu za Siri za Mkewe ili Asitoke Nje ya Ndoa
Mwanaume mmoja wa nchini India ili kumlinda mkewe asitoke nje ya ndoa aliutoboa uke wa mkewe na kuufunga kwa kufuli kila alipokuwa akimuacha peke yake huku funguo za kufuli hilo akitembea nazo akiwa amezificha kwenye soksi anazovaa. ... Full Story

VIDEO - Mwalimu Anayefundisha Kwa Kutumia Miguu
Mwanamke wa nchini Marekani ambaye alizaliwa akiwa hana mikono ameonyesha changamoto kwa watu kwasababu ya vilema vyao hawawezi kufanya chochote kwa kuweza kuajiriwa kazi ya ualimu akifundisha wanafunzi kwa kuandika ubaoni kwa kutumia miguu yake. ... Full Story

VIDEO - Ukisikia Mwanamke Aliyedata Basi Ndiye Huyu...
Marekani kuna wanawake wengi ambao wanajifanya wamewehuka na kufanya vitu mbalimbali vya aibu bila kujali watu waliowazunguka lakini kali ya yote aliitoa mwanamke huyu ambaye alijikojolea ndani ya treni na kisha kuamua kuoga kabisa ndani ya treni. ... Full Story

Safari ya Maisha Bora Ulaya, Yamalizika Katika Hali ya Kutisha
Kijana mmoja aliyetarajia maisha bora nchini Uingereza na kuzamia kwenye ndege akijificha kwenye sehemu ya matairi ya ndege amefariki dunia baada ya kudondoka toka angani baada ya ndege kufungua matairi yake kabla ya kutua jijini London. ... Full Story

Afariki Baada ya Kudungwa Sindano ya Kuongeza Ukubwa wa Uume
Kijana mmoja nchini Marekani amefariki dunia baada ya kudungwa sindano ya silikoni ili kuongeza ukubwa wa uume wake. ... Full Story

Aukata Uume wa Mumewe na Kuutupa Chooni
Hudaiwa kuwa hakuna mtu mwenye hasira kali kama mwanamke anayegundua kuwa mumewe ana kimada nje, hayo yalijidhihirisha nchini Peru pale mwanamke mmoja nchini humo alipoukata uume wa mumewe wakati akiwa amelala na kisha kuutupa uume huo chooni. ... Full Story

Mwanamke Mbaroni Kwa Kufanya Mapenzi na Mbwa
Mwanamke mmoja wa nchini Afrika Kusini ametiwa mbaroni baada ya kuwasumbua majirani kwa muda mrefu akifanya mapenzi na mbwa wawili na pia akirekodi video akifanya mapenzi na mbwa hao. ... Full Story

Ashindwa Kutongoza Mademu, Ajaribu Kumbaka Bibi Yake
Kijana mwenye umri wa miaka 20 wa nchini Marekani ambaye alikuwa akilalamika kuwa anashindwa kumwaga sera za kuwavutia mabinti, aliamua kumpiga nyundo ya kichwa bibi yake ili apunguze haja zake za kimapenzi. ... Full Story

Staili Hii Ya Kutoa Mashetani Yasababisha Kifo
Mtoto wa miaka mitatu wa nchini Malaysia aliyedaiwa kuwa ana mashetani, amefariki dunia baada ya jaribio la kuyatoa mashetani hayo kwa jumla ya watu saba kumlalia juu ya mtoto huyo kwa muda mrefu huku wakisali. ... Full Story

Huu ni Ushamba Au..
Mwanaume mmoja wa nchini Uingereza ametoa kali ya mwaka iliyosababisha moto mkubwa pale alipotumia microwave kukaushia viwalo vyake vya ndani na soksi zake. ... Full Story

VIDEO - Ukatili - Mwanamke Auliwa Kwa Risasi Kwa Kufanya Mapenzi na Makamanda wa Taliban
Aliamriwa achuchumae akiangalia mbele, nyuma yake kulikuwa na jamaa mwenye bunduki kubwa ya Kirusi na mamia ya watu wakiwa wamezunguka kushuhudia mwanamke aliyetuhumiwa kufanya mapenzi na makanda wawili wa Taliban akiuliwa kwa kupigwa risasi za kichwani na mgongoni. ... Full Story

Habari Zaidi za Life Style 
Chagua Ukurasa:
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 | 8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 | 15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 |

Photo Gallery

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream

 Huku si Kujitakia kifo?
Most viewed news
Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
Muendelezo wa majina 201
Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD