Interviews

Rogert Hega 'Katapila' Alonga na Nifahamishe
UNAPOZUNGUMZA wanamuziki wenye uwezo mkubwa wa kimuziki hapa nchini kwa sasa, utakuwa umefanya kosa la jinai kama katika orodha yako hutomtaja mwanamuziki Rogert Hega 'Katapila'. ... Full Story

Saleh Kupaza: ‘mchawi’ Aliyepewa Mwana kulea Twanga Pepeta
Nilipokuja Twanga nilijifanya kama sijui kitu. Lengo langu ilikuwa kujua tabia na uwezo wa kila mmoja ndani ya Twanga. Pia sikutaka kujinadi kwa kupiga kelele, nilitaka watu wanitambue kutokana na uwezo wangu na si mbwembwe na kelele zangu. ... Full Story

Emanuel Okwi - Mshambuliaji Mwenye Kasi Anayewatia Wazimu Simba
Kama kuna mchezaji ambaye anaposhika mpira huwatia wazimu washabiki wa simba kwa staili yake ya kumiliki mpira huku akienda spidi basi huyo si mwingine bali ni mchezaji machachari wa wana wa Msimbazi, Emanuel Okwi. ... Full Story

Blandina - Autosa Unesi Awe Msanii wa Maigizo
KUNa umuhimu mkubwa wa wazazi nchini kuchunguza vipaji vya watoto wao kabla ya kuwapangia nini cha kufanya hasa katika suala zima la masomo. Mfano mzuri ni mwanadada Radhia Hassan Mtetemela ambaye aliacha kazi yake ya unesi kuwa msanii wa maigizo. ... Full Story

'Natamani kuwa mwimbaji mahiri' - Aaliyah
Miongoni mwa wanenguaji mahiri wa muziki wa dansi nchini Aaliyah Moses ambaye amekuwa akinengua kwa miaka 11 sasa, amesema kuwa wakati wake umefika wa kuachana na unenguaji na kuwa mwimbaji mahiri nchini. ... Full Story

Said Fella, Kutoka Kwenye Upromota Hadi Kushika Maiki
JINA la Said Fella ni maarufu sana kwa wapenzi wa muziki nchini, hasa wale wa muziki wa kizazi kipya, "Bongo Fleva". Fella aliingia kwenye bongo Fleva kama meneja wa wasanii hivi sasa ameamua kushika maiki kuwajibu wasanii wanaomponda. ... Full Story

Halima Ibrahimu - Mnenguaji Tegemeo wa Extra Bongo Aliyeanzia Kuimba Kanisani
KILA binadamu duniani anapozaliwa anakuwa na ndoto yake katika maisha. Lakini ndoto hiyo inaweza kubadilika kutokana na hali halisi ya maisha.Hivyo ndivyo ilivyo kwa mnenguaji wa bendi ya Extra Bongo 'Next Level' ya jijini Dar es Salaam, Halima Ibrahimu Mwashilemo (23). ... Full Story

Je Muziki wa Bongo Fleva Unakaribia Kupoteza Utamu Wake?
KUANZIA mwanzoni mwa miaka ya 2000, ubongo wa vijana wengi wa Tanzania ulikuwa umejaa muziki wa Bongo Fleva. Unapowaona wamekaa vijana zaidi ya mmoja, basi mazungumzo yao yalikuwa ni juu ya muziki huo.Hata mavazi yalikuwa tofauti Suruali kubwa inayoacha makalio wazi, fulana kubwa na hereni kifuani. ... Full Story

Safari Ndefu ya Muafrika wa Kwanza Kunyakua Medali ya Dhahabu Kwenye Olimpiki
Alikuwa mwafrika wa kwanza aliyewaacha wazungu midomo wazi sio tu kwakuwa alikuwa mwafrika wa kwanza kushinda medali ya dhahabu kwenye olimpiki bali pia kutokana na kwamba alikimbia kilomita zote za Marathon kwenye Olimpiki akiwa peku peku. ... Full Story

Heshima na Uvumilivu Umenifanya Nifike Mbali -Msanii Elias Barnabas
Je unamjua vizuri Elias Barnabas nyota inayong'aa kwenye muziki wa kizazi kipya 'Bongo Flava' hivi sasa ambaye alitamba sana na wimbo wake 'Njia Panda'? Je unajua kwamba kutokana na kupenda kwake sana muziki aliacha shule kidato cha pili? ... Full Story

Photo Gallery
 
  Huku si Kujitakia kifo?
 
  Kasheshe za watoto
Most viewed news
Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
Muendelezo wa majina 201
Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD