Health
  Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
Mwanamke mmoja nchini Serbian, anasumbuliwa na ugonjwa wa ajabu unaomfanya kuona Dunia na vilivyomo ndani yake chini juu, amekuwa ikisumbuliwa na hali hiyo iliyosababishwa na matatizo kwenye ubongo wake ...

  Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
Wataalamu wa maswala ya afya ya mama na mototo wamewataka wanawake wenye ujauzito kupunguza au kuacha kabisa matumizi ya Lipstick, imebainika kipodozi hicho kina material yenye madhara kwa afya ya mtoto.
...

  Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
RAIS Jakaya Kikwete ameweka jiwe la msingi katika jengo la tiba la magonjwa ya upasuaji wa moyo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, jijini Dar es Salaam. ...

  Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
SERIKALI imetangaza kwamba watoto wenye matatizo ya vichwa vikubwa na wale wenye matatizo ya uti wa mgongo watapata matibabu hayo nchini bure katika taasisi ya mifupa MOI. ...

  MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo ya Muhimbili [MOI] imepata msaada wa vifaa vya upasuaji wa Uti wa Mgongo vinavyotambulika kwa jina la Extreme Lateral Lumber Interbody Fussion vyenye thamani ya shilingi Mil. 370.

...

  Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
BAJETI ndogo inayotolewa na Serikali katika vituo vya afya nchini ni chanzo cha ongezeko la vifo vya Malaria nchini. ...

  Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
WATANZANIA zaidi ya 800,000 hufa kila mwaka kutokana na ugonjwa wa Malaria. ...

  Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
WAGONJWA wapatao 25 wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo wameondoka kwenda India kwa ajili ya kwenda kupatiwa matibabu ...

  Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
HOSPITALI ya Taifa ya Muhimbili imepata fursa ya kupata mashine mpya ya kisasa ya vipimo iitwayo ‘CT Scanner’.

...

  Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
WAKAZI wa Wilaya ya Ukerewe, Mkoani Mwanza wanaugua ugonjwa wa kichocho na minyoo. ...

  Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
Faith Mwampe has the feet of an unformed twin protruding from her buttocks, meaning she may never be able to walk unless it is removed. The Zambian baby, who was born in April last year, is set to undergo the five-hour operation. ...

  'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
FORMER fatty David Smith has gone from chunk to hunk - after losing a whopping 29 stone and having more than 30lbs of excess skin removed. ...

  Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
Bibi wa miaka 92 ambaye alipata mimba wakati wa ujana wake miaka 60 iliyopita anaingia leba kwaajili ya kujifungua mtoto huyo baada ya miaka yote hiyo kupita. ...

  Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
Mtoto mnene kuliko wote duniani aliyekuwa na kilo 381 amefanikiwa kupunguza nusu ya kilo za mwili wake baada ya madaktari kumfanyia upasuaji kuondoa mafuta kwenye mwili wake. ...

  Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja

CHANJO ya majaribio ya ugonjwa kipindupindu inatarajiwa kuanza mwezi huu huko Zanzibar
...

  Wachangia Lita 67 za Damu
WAFANYAKAZI wa mgodi wa Barrrick Bulyanhulu na familia zao wametoa lita 67 za damu wakati wa sherehe ya sikukuu ya familia iliyofanyika jana mgodini hapo.

...

  Boy has foot removed from brain
A boy has had a tiny foot and other partially formed body parts removed from inside his brain. ...

  10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
An 11-year-old girl in Mumbai, India, was hospitalized with pain in her stomach, and surgeons were forced to operate. What they found was a foot-long hairball. ...

  HIV illegal immigrant may have infected more than 400
An illegal immigrant may have infected hundreds of women with HIV in a string of one-night-stands, it has emerged. ...

  Planting the seeds of malaria control
Across sub-Saharan Africa malaria kills as many as 3000 young children each day. Most of these deaths are unnecessary, because there are highly effective medicines that can cure malaria infection —artemisinin-based combination therapies (ACTs). ...

  Smoking riskier for women's hearts
Women who smoke may develop heart disease at almost the same age as male smokers, wiping out the natural difference between the sexes, doctors said Tuesday. ...

Photo Gallery
 
  Huku si Kujitakia kifo?
 
  Kasheshe za watoto
Latest News
Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
Muendelezo wa majina 201
Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD