Education
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    1/23/2009 1:22:04 AM
Zoezi hilo la udahili lilianza mapema mwa wiki hii la kusaili upya wanafunzi watakaoruhusiwa kurudi chuoni hapo.

Wanafunzi wote walitakiwa kujaza fomu maalumu ambazo zitawaruhusu kurudi upya kuendeleza masomo yao pindi atakapojaza fomu hiyo maalumu vinginevyo hataruhusiwa kurudi chuoni hapo.

Vilevile na kupatiwa vitambulisho vingine ili aweze kutambulika kama mwanafunzi wa chuoni hapo, na watatakiwa wavae vitambulisho hivyo ili aweze kuingia ndani ya chuo, japo utaratibu huo ulionekana kulalamikiwa kwa wanafunzi walio wengi na kuuita utaratibu wa kuvaa viambulisho ndipo uingie kwenye lango la chuo ni sawa na utaratibu wa “kipande system”.

Pia ikiwemo na kukamilisha vipengele vyote vilivyowekwa kwenye fomu hizo.

Katika udahili huo wakati unaendelea wanafunzi wapatao 2000 walifutiwa udahili ikiwemo na kukamatwa wanafunzi wanne kupinga kufutiwa kwa udahili wenzao.

Kesho wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Umaa vya Elimu ya juu nchini wanatarajiwa kufanya maandamano ya kupinga kufutiwa kwa udahili kwa wanafunzi wenzao 2000 na vilevile kupinga sera ya uchangiaji.
MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA