Education
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Na Kakwola Rajabu    1/16/2009 4:39:25 PM
Adora Svitak (11) pamoja na umri wake mdogo amezidi kuwashangaza watu duniani kwa mambo yake anayoendelea kuyafanya.

Mtoto huyo kama watoto wengine hupelekwa na wazazi wake shule lakini kinachowatenganisha na watoto wengine ni kwamba yeye hupelekwa shule kama mwalimu akiwa na nguo zake za kawaida tofauti na wenzake wanaokuwa kwenye unifomu.

Mtoto huyo alianza kusoma alipokuwa na umri wa miaka miwili na alipotimiza miaka saba alitoa kitabu chake alichokiandika mwenyewe kwa mawazo yake mwenyewe.

Adora sasa akiwa na umri wa miaka 11 amekuwa mwalimu na katika masomo yake amekuwa akielezea matatizo ya kiuchumi duniani,vita mbali mbali duniani na mambo mengi mengine makubwa kuliko umri wake.
MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA