Education
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    1/14/2009 3:06:01 AM
UMOJA wa vyuo vya elimu ya juu vya Umma Tanzania [UVEJUTA] wameitaka serikali kutatua matatizo yanayofanywa kufungwa kwa vyuo hivyo kuliko kukimbilia kuvifungua kabla hawajamaliza matatizo.

Umoja huo ulisema kuwa serikali inatakiwa kumaliza matatizo yaliyopo vyuoni yanayosababisha kufungwa kwa vyuo hivyo la sivyo mgomo utaendelea kuwepo palepale.

Godbless Charles, ambaye ni mwenyekiti wa umoja huo alisema kuwa migomo itaendelea kuwepo mpaka hapo serikali itakapotekeleza madai ya wanafunzi ya kimsingi na ambayo yana maslahi makubwa kwa nchi.

Awali serikali iliamua kufunga vyuo kwa muda usiojulikana na kuwafutia wanafunzi wote udhamini na kutoa fomu za masharti magumu ambayo kila mwanafunzi alitakiwa kuyatekeleza bila kujali msingi wa madai hayo.

Wanafunzi hao wanadai kuwa wanataka udhamini kwa asilimia miamoja kutoka kwa serikali jambo ambalo serikali hawajaliafiki.
MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA