Education
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Na Chondoma shabani, Dar es Salaam    1/5/2009 3:24:14 AM
Taarifa imeeleza kuwa wakuu 18 wamevuliwa madaraka na waratibu watatu wa elimu katika Wilaya ya Bariadi, walimu wakuu 11 katika Wilaya ya Bukombe na walimu wakuu wakuu 6 katika Wilaya ya Meatu.

Taarifa hiyo pia ilisema mbali na wakuu hao kuvuliwa madaraka pia walimu 19 katika wilaya ya Kahama wamepewa barua ya onyo na wengine 23 kutoka Wilaya ya Kishapu na Kahama wamefikishwa kwenye kamati ya nidhamu na mishahara ya walimu 16 imezuiliwa.

Maeneo ambayo yalichangia kwa kiasi kikubwa Mkoa wa Shinyanga kushika mkia kitaifa ni pamoja na utoro wa wanafunzi, upotevu mkubwa wa vipindi na wizi wa vitabu mashuleni unaofanywa na baadhi ya wakuu wa shule wakishirikiana na wamiliki wa maduka ya vitabu ambayo mengi yao ni ya maafisa wa Wilaya na elimu.

Moja ya sababu iliyowafanya wakuu hao wapoteze madaraka yao ni baada ya baadhi ya shule ya kukuta matumizi makubwa ya fedha za kununulia vitabu na vitabu vyenyewe havionekani mashuleni.

Hatua hii ya kufukuzwa walimu wakuu katika baadhi ya shule Mkoani Shinyanga imetokana na kushika nafasi ya mwisho Kitaifa katika matokeo ya darasa la saba yaliyotolewana wizara ya Elimu.
MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA