Education
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    3/29/2009 11:52:51 PM
Katika shindano hilo zaidi ya shule 30 zinatarajiwa kushindana na kuwania tunzo hiyo.

Akizungumza kuhusu shindano hilo Mratibu wa shindano Godfrey Maganga amesema kuwa shindano hilo linatarajiwa kuanza rasmi Aprili 18, mwaka huu, kwa shule 30 zitakazohusisha wanafunzi wasiozidi 300

Maganga amesema kuwa lengo la mashindano hayo ni kuinua kiwango cha elimu nchini ambacho kilikuwa kinashuka kwasababu mbalimbali hasa kwenye masomo hayo.

Amesema kwa wanafunzi wa elimu ya juu A’Level wao watashindana katika masomo ya PCM, PCB, EGM na HGL.

Pia amesema washindi katika shule za msingi na sekondari wataweza kupata zawadi ya fedha taslimu na vifaa vya shule huku kwa wale wa elimu ya juu watazawadiwa kompyuta, fedha taslimu na simu za mkononi.

Pia kwa shule ambazo zitatoa wanafunzi hao wakali wataweza kuzawadiwa kompyuta, printa, rimu za karatasi na vifaa vya shule kwa ajili ya motisha kwa kutoa wanafunzi bora.MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA