Education
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Na Chondoma Shabani, Dar es salaam    3/23/2009 1:57:12 AM
Wanafunzi hao wameazimia kugoma kutokana na uongozi wa chuo hicho kutaka kuwapa Sh 500 kwa siku ikiwa ni posho ya mazoezi ya vitendo nje ya chuoni hapo.

Wameutaka uongozi wa chuo hicho wakae na wapange upya na wao wakiwa wanataka wapewe japo Sh 5000 kwa siku na sio hiyo iliyopangwa awali.

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Meja Jenerali Said Kilembo aliwataka wanafunzi hao kuachana na mgomo huo kwani hautawasaidiaa chochote katika kozi yao hiyo.

Pia alimtaka mkuu wa chuo hicho kusikiliza maombi ya wanafunzi hao kwa kupeleka ombi hilo Serikali ya Mkoa na kuweza kutatuliwa na wanafunzi hao waweze kuongezewa posho hiyo kwani iliyopangwa awali ni kama uzalilishaji kwa wanafunzi hao.

Alisema anaamini fedha hizo zipo na kinachotakiwa kujipanga na kupeleka fedha hizo serikali ya Mkoa na ikishindikana lipelekwe Serikali Kuu ili fedha hizo kuongezwa na w anafunzi hao waaanze mara moja mazoezi hayo ya vitendo nje ya Chuo.

Wanafunzi hao wamesema kutokana na gharama za nauli na gharama nyingine za kujikimu kwa siku kiasi hicho kilichopangwa haitawezekana hata kidogo na wameomba kama fungu hilo halipo basi wasifanye mazoezi hayo kabisa na maksi zilizotakiwa kujazwa kwa ajili ya mazoezi hayo kipengele hicho kiondolewe.MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA