Education
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    3/23/2009 1:53:56 AM
Rai hiyo imetolewa na Makamu Mkuu wa Chama hicho Honoratha Chitanda, wakati alipokuwa akitoa juu ya maendeleo ya wanafunzi mashuleni juu ya ufaulu wao.

Chitanda amesema kuwa wanafunzi wengi wanafeli mitihani na wamebweteka kutokana na Serikali kutangaza kuwa wanafunzi wasirudishwe madarasa na hata kama wakifeli waendelee na hilo ndilo linalosababisha uzembe kwa wanafunzi walio wengi mashuleni.

Serikali ilitangaza hatua hiyo kusitisha kurudishwa kwa wanafunzi wa kidato cha pili na darasa la nne katika shule za msingi kwa kuona kufeli ni kukosa juhudi kwa walimu wenyewe na wanafunzi wanaporudishwa ni kuongeza msongamano katika darasa moja.

Amesema awali mwanafunzi wa darasa la nne asipofikisha wastani unaotakiwa huwa anarudishwa darasa na kidato cha pili pia, hivyo kwa sababu wanafunzi wameshaelewa kuwa hata asipofikisha wastani huo ataendelea na masomo basi spidi ya kujisomea inapungua kwa wanafunzi na kuleta uzembe mashuleni.

Chitanda amesema kuwa tangu kutangazwa kwa kufutwa kwa mfumo huo wa kurudia madarasa idadi ya wanafunzi wazembe wameongezeka na kuleta matokeo mabaya ya mitihani.

Amesema utafiti unaonekana kuwa matokeo ya miaka ya nyuma yanaridhisha kuliko matokeo ya mwaka jana na kuwa sera hii inarudisha maendeleo ya elimu nyuma.

Hivyo anaishauri wadau wa elimu na maprofesa nchini kuishauri serikali kurudisha sera hiyo ya awali ili elimu ya Tanzania isonge mbele na si kurudi nyuma.


MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA