Education
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    3/11/2009 2:57:32 AM
Waziri Maghembe ameyasema hayo wakati alipokuwa katika ziara ya kutembelea vyuo vya ualimu vilivyo nchini na kuhakiki maendeleo na ufundishwaji wa mitaala ya walimu hao.

Maghembe amesema kuwa kutokana na wimbi zito linaloikumba nchi hivi sasa la wanafunzi kufeli kwa kiwango kikubwa katika masomo hayo watahakikisha walimu waliopo vyuoni hawatasajiliwa kuwa walimu hadi wafaulu kwa kiwango cha juu kabisa katika masomo hayo hata kama hakuchaguliwa masomo hayo ya kufundishia.

Amesema bila hivyo walimu wengi wanaoingia vyuoni watakwepa kuchagua mitaala hiyo na kukosa kabisa wataalamu wa masomo hayo kwa wanafunzi wa baadae.

Amesema tatizo la walimu wengi kufeli masomo hayo ndiyo sababu tosha ya wanafunzi wengi wa msingi na sekondari kufanya vibaya masomo hayo.

Katika moja ya ziara yake mkoani Dodoma alifanya mahojiano na walimu wanafunzi wa chuo cha Mpwapwa na kubaini kuwa walimu wengi hawajui kiingereza kama inavyostahili

Maghembe aligundua hilo baada ya kufanya mahojiano na walimu hao kwa njia ya kiingereza na wawili kati yao kushindwa kujieleza kwa lugha ya kiingereza waliposimamishwa na Waziri huyo.

Hivyo alisema mwalimu kama huyo hataweza kuajiriwa na Wizara ya Elimu mana hataweza kufundisha wanafunzi.


MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA