Education
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    3/4/2009 2:16:51 AM
Ripoti hiyo ilitolewa jana jijini Dar es salaam na Katibu Mtendaji Mkuu wa Necta. Bi Joyce Ndalicheko.

Akiwasilisha ripoti hiyo Bi.Joyce alisema matokea ya utafiti yamegundua kuwa chupa za chai zinatumika kupitishia majibu kwenda kwa wanafunzi watahiniwa.

Alisema katika tafiti hiyo imegundulika kuwa walimu huweka majibu vyooni ambapo wanafunzi huenda kuyachukua huko.

Pia baadhi ya walimu wasiokuwa waaminifu hutumia vitabu vya kusainia kupitisha majibu hayo kwa wanafunzi hao.

Ndalichako alisema, matatizo haya mengi yamegundulika kutoka na kuhojiwa kwa maofisa elimu wa mikoa na wilaya, wanafunzi wa sekondari kukiri kuwepo kwa mambo hayo.

Na idadi kubwa ya wananchi wanaohojiwa kuhusu uelewa wa mambo hayo kuweka hadharani mambo hayo kumesaidia kugundulika kwa njia hizo mbalimbali zinazotumika kwa uvujaji wa mitihani nchini.

Hivyo alisema kuna juhudi za dhati zinachukuliwa kwenye usimamizi wa mitihani na kuepukana na walimu wenyeji kwenye vituo vya mitihani.

Na Serikali imeweka mikakati kuwa kwa yeyote atakayebainika kuwa amevujisha mitihani ka namna moja au nyingine atachukuliwa hatua za kisheria.
MIGRATION NEWS WORLWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA