Education
   Afanya Udaganyifu Mtihani Kwa Kutumia Saa ya iPod nano.
   Mwanafunzi Mmoja nchini Misri amekatwa akiwa anafanya udanganyifu katika chumba cha mtihani kwa kutumia saa ndogo ya mkononi yenye uwezo wa kuhifani kumbukumbu inayotumia teknolojia ya iPod nano (smart wristwatch).  more details                Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
   WANAFUNZI wa shule za msingi na sekondari watachuana katika masomo ya hisabati, kingereza, Kiswahili na Jiografia ili kuwania tunzo ya elimu iitwayo “Tanzania Academic Award”  more details                Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
   WANAFUNZI wa Chuo cha Ualimu Morogoro [TTC] wameazimia kugoma kwa muda usiojulikana kwa kupinga posho ndogo kwa ajili ya mazoezi nje ya vituo  more details                Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
   CHAMA CHA Walimu Tanzania [CWT] kimeitaka Serikali kufuta sera inayopinga kurudia darasa kwa wanafunzi wanaofeli na kutaka sera hiyo irudishwe kwa kuwa wanafunzi wengi wanazembea mashuleni  more details                Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
   WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Prof. Jumanne Maghembe amesema kuwa walimu walio vyuoni wasiofaulu masomo ya Kiingereza na Hisabati kwa kiwango cha juu hawatasajiliwa kuwa walimu za shule za msingi na Sekondari nchini  more details                Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
   BARAZA LA Mitihani ya Taifa [NECTA] imetoa taarifa ya mbinu zinazotumika kufanya udanganyifu wa wizi wa mitihani.  more details                Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
   ZOEZI la udahili upya wanafunzi waliosimamishwa masomo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam limekamilika  more details                Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
   Mtoto aliyepata umaarufu kama mtoto mwenye akili kuliko wote duniani amekuwa mwalimu akifundisha masomo yanayoelezea migogoro ya kiuchumi duniani na matatizo ya vita duniani.Hupelekwa shule na wazazi wake kama watoto wengine.  more details                Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
   UMOJA wa vyuo vya elimu ya juu vya Umma Tanzania [UVEJUTA] wameitaka serikali kutatua matatizo yanayofanywa kufungwa kwa vyuo hivyo kuliko kukimbilia kuvifungua kabla hawajamaliza matatizo.  more details                Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
   Mkoa wa shinyanga umewavua madaraka walimu wakuu 35 wakiwemo waratibu wa elimu watatu kwa kudaiwa kuwa chanzo cha kufeli kwa wanafunzi mkoani humo.  more details                Wanafunzi 30 Wafukuzwa Shule
   WANAFUNZI zaidi ya 30 wa kidato cha tano katika shule ya Sekondari Ikizu Wilayani Bunda, Mkoani Mara wamefukuzwa shule baada ya kuhusika katika mgomo wa kutoingia madarasani na kula chakula.  more details                Hisabati na Kingereza Bado ni Tatizo Shule za Msingi
   WAKATI matokeo ya mitihani ya Darasa la Saba yakitangazwa leo asubuhi, kiwango cha kufaulu katika masomo ya Hisababti na Kiingereza kimezidi kushuka.  more details                Shule Yafungwa Kwa Kukosa Chakula
   ZAIDI ya wanafunzi 200 wa kidato cha tano na sita katika Shule ya Sekondari ya Ufundi Moshi, wamelazimika kusitisha masomo yao kwa muda usiojulikana kutokana na upungufu wa chakula unaoikabili shule hiyo.  more details                Foreign students must play by the Rule
   STUDENTS who wish to study in the UK from abroad will have to be sponsored by a college or university when tight new regulations come into effect from next March.  more details                Tanzanians traveling to UK to get their visa from Kenya
   All Tanzanians wishing to travel to Britain would from December this year process their travel visas in Nairobi,John Bradshaw, a British High Commission Press Officer, told journalists in Dar es Salaam.  more details                HIV testing planned amid scare at Mo. high school
   Officials plan to start HIV testing at a suburban St. Louis high school where as many as 50 students may have been exposed to the virus that causes AIDS.  more details                Guns for Texas school's teachers
   Teachers in one part of the US state of Texas are to be allowed to carry concealed firearms when the new school term opens this month.  more details                Slavery history lessons to be compulsory
   Britain's involvement in the slave trade will be studied by all English secondary pupils next term  more details             
IMMIGRATION NEWS WORLDWIDE
Boris immigrants amnesty is 'naive'
Boris "Illegal immigrant amnesty in London"
UK Immigration news on ID CARDS
UK announces changes to accepted English lang

 

More Education News
Wanafunzi watakaofaulu vizuri Hisabati, Kingereza kupat
Walimu wanafunzi wagomea posho ya Sh 500 kwa siku
Wanafunzi wanaofeli wanaongezeka –CWT
Walimu Watakaofeli Kiingereza, Hisabati kutopangiwa Vituo vya Kazi
Walimu Tanzania Huwawekea Majibu Chooni Wanafunzi Wao
Usaili Chuo Kikuu Wamalizika, Maandamano Makubwa Kesho
Mtoto wa miaka 11 awa mwalimu Marekani
Serikali yatakiwa kutatua matatizo ya vyuo vikuu
Walimu wakuu 35 wavuliwa vyeo
Schorlaships
Study in United Kingdom
Study in United States
Study in Europe
Study in Australia
Study in Japan
Study in China
Study in India
Education Visa Requirements
USA
UNITED KINGDOM
EUROPEAN UNION
JAPAN
AUSTRALIA
CHINA
INDIA