Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Korea yasimamisha safari kuingia Kenya

NewsImages/7120106.jpg
Shirika la ndege la Korea limepiga marufuku safari zake za ndege kuingia nchini Kenya
Thursday, August 21, 2014 6:15 PM
Shirika la ndege la Korea limepiga marufuku safari zake za ndege kuingia nchini Kenya kufuatia tahadhari ya shirika la afya duniani WHO kuwa taifa hilo liko katika hadhari ya kuambukizwa homa ya Ebola.
Shirika la ndege la Korea limepiga marufuku safari zake za ndege kuingia nchini Kenya kufuatia tahadhari ya shirika la afya duniani WHO kuwa taifa hilo liko katika hadhari ya kuambukizwa homa ya Ebola.

Japo hakujakuwa na maambukizi yeyote ya Ebola nchini Kenya shirika la ndege la Kenya linafunga safari katika mataifa ya Magharibi mwa Afrika yaliyoathirika na Ebola.

Aidha uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ni kitovu cha usafiri wa ndege katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati.
Shirika hilo linashikilia kuwa usafiri huo kutoka Magharibi mwa Afrika hadi Nairobi ndiyo changamoto inayoweza kuleta maambukizi mapya ya Ugonja huo.

 
Source: BBC    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Neem    Tuesday, August 26, 2014 22:12:20   
 
Kuhusu EBORA inawezekana,kwasababu
Kenya inapenda kujionyesha kuwa
inandege nyingi sana na kumbe ndege zenyewe niza watu wamataifa
ya Ulaya wanatumia kenya,iweze
kuwafanyia kazi zao.Nandege zote
zimeandikwa kenya,na sasa wanakwenda Kila kona ya Afrika na
ulaya na Asia na sasa wanashindana na Ethiopia.Nirahisi
Ebora kuileta nchini kenya na kusini mwa Afrika.Ni nchi ya kutaka sifa sana haitaki kupitwa
nakitu,ukisoma habari zao ni majidai tu.Kuna VIZA ya 6 months
kwa wa Afrika kuingia kenya

 
 
Mtoa Maoni: sabrina waryoba    Thursday, August 28, 2014 21:38:44   
 
wabongo hawakosi la kusema
 
 
Mtoa Maoni: neem    Thursday, August 28, 2014 22:27:55   
 
Sio kusema wabongo hawakosi la kusema.Nisikitika kukwambia kuwa
hujui lolote,nimeandika ninavyo
viona na kusikia kwamasikia yangu,
nimeishinao na ninaishinao na
wasikilize sana kwenye vipindi vyao na kwenye mitandoa,utaniunga mkono.Uku niwengine wanakwambia usitufananishe nanyie stop.Na kuhusu kny airways nikosawa kabisa
sijakosea ninajua.Sabrina Waryoba
Soma sana Blogs etc ujue yanayoendelea duniani,wanakwambia
kenya mbele zaidi,kutangulia sio kufika.Ujua sasa.

 
 
Mtoa Maoni: MARK.MUSHI WA I    Friday, August 29, 2014 18:13:20   
 
MARK.MUSHI WA ITALY.NASEMA KAMA EBOLA IKIINGIA TANZANIA 2TAKWISHA KABISA.NA HAWO WAKENYA SIFA ZA KIJINGA2,ILA ETHIOPIA NDEGE ZAO NI BABU KUBWA2.
 
 
Mtoa Maoni: Joe de Matthews    Saturday, August 30, 2014 23:04:36   
 
Sasa "wakenya" ambao labda sasa hii wako Korea watarudije, sana sana wale waohitaji usafiri wa haraka.
 
 
       Jumla kuna maoni (35), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD