Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan

NewsImages/7117214.jpg
Saturday, June 28, 2014 10:51 PM
Waislamu duniani leo wanaanza mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan huku wengine wakitarajiwa kuanza kufunga kesho jumapili
Waislamu wanauanza mwezi wa tisa wa kalenda ya kiislamu ambao hujulikana zaidi kama mwezi wa Ramadhan kwa kujizuia kula na kunywa kuanzia alfajiri ya kweli inapochomoza hadi jioni jua linapozama. Kufunga ni moja ya nguzo tano za Uislamu.

Kuanza na kumalizika kwa mwezi mtukufu wa Ramadhan hutegemea na kuandama kwa mwezi lakini kumekuwa na mgongano juu ya njia za kuona kuandama kwa mwezi.
Baadhi ya nchi hutaka mwezi lazima uonekane kwa macho na hukataa kutambua kuandama kwa mwezi kwa kutumia njia za kisayansi.

Nchini Yemen,Viongozi wa dini ya kiislam jana ijumaa wamethibitisha kuandama kwa mwezi wametangaza kuwa jumamosi ndio mwanzo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

Hata hivyo nchi ya Saudi Arabia majirani wa Yemen imetangaza kuwa wao wataanza kufunga jumapili kwakuwa hawajauona mwezi nchi humo.

NIFAHAMISHE.COM inawatakia waislamu wote duniani mfungo mwema wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Remmy    Monday, June 30, 2014 23:11:41   
 
Jamani mlikua wapi siku zote hizo????Nimatukio mangapi yametokea huko nyumbani na ulimwenguni kote lakini hamja ripoti chochote.Ama ni mlikua mnangoja ramadhani ifike?????Basi kama ni hivyo, karibuni tena uwanjani nasisi tuchangie maoni.
 
 
Mtoa Maoni: Mwalimu    Tuesday, July 08, 2014 00:22:43   
 
Ubuguvu upo wapi
 
 
Mtoa Maoni: FATMA MOH'D     Tuesday, July 15, 2014 12:58:34   
 
RAMADHAN IMEINGIA TUNATAKIWA KUFANYA YALE YOTE MEMA ALIYOTUAMRISHA ALLAH NA KUJISTIRI SI MWEZI MTUKUFU TU WA RAMADHANI KWANI MWENYEZI MUNGU YUPO NA ANAONA KILA KITU KILICHOJIFICHA, KWANI KUNA BAADHI YA KINA MAMA IKIPITA RAMADHAN MAMBO YAO KAMA KAWAIDA HIVYO SI VIZURI NA HAPA TUNAPITA TU. USHAURI WANGU TUIPENDE SANA AKHERA KULIKO DUNIA
WABILAHI TAUFIQ.

 
 
Mtoa Maoni: ubuguvu    Sunday, July 27, 2014 07:58:01   
 
nipo mwalim bt nipo bize na ibada huu mwezi
 
 
Mtoa Maoni: MUISLAM    Saturday, August 09, 2014 15:27:05   
 
EBOLA NI NJAMA YA MAKAMPUNI YA MADAWA KUENEZA MAGONJWA ILI SEREKALI ZILAZIMISHE CHANJO. KWA BAHATI MBAYA WAO NDIO WANA ENEZA HATA UKIMWI KAMA WALE WATOTO 400 WA LIBYA. LAKINI NIGERIA WALISTUKIA WAKAGOMA WALIVYO ONA INA UKIMWI.

SIKU ZA KARIBUNI TUTALAZIMISHWA TUCHOME WATOTO WETU CHANJO ZA EBOLA, LAKINI ALLAH TU ANAJUA NIYA ZA PHARMACEUTICALS.

ALLAH ATULINDE.

DUH KUMBE KINACHO ZUNGUMZIWA HAPA NI RAMADHANI, SORRY JAMANI. LAKINI NI VEMA UKELI USEMWE.

 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD