Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Ni Azam bingwa Bara 2013/2014

NewsImages/7115286.jpg
Wachezaji wa Azam wakishangilia leo Uwanja wa Sokoine. Kulia John Bocco amemkumbatia Mwaikimba
Sunday, April 13, 2014 6:52 PM
MABAO ya Gaudence Mwaikimba na John Bocco ‘Adebayor’ kipindi kwanza na cha pili yametosha kuihakikishia Azam FC ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara 2013/2014, baada ya kuwafunga wenyeji Mbeya City 2-1 Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya

MABAO ya Gaudence Mwaikimba na John Bocco ‘Adebayor’ kila kipindi yametosha kuihakikishia Azam FC ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, baada ya kuwafunga wenyeji Mbeya City 2-1 Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya. Bao la Mbeya City limefungwa na Mwagane Yeya.
Kwa ushindi huo, Azam imefikisha pointi 59 ikiwa na mchezo mmoja mkononi ambazo haziwezi kufikiwa na timu yoyote baada ya mechi za mwisho Aprili 19, mwaka huu. Nafasi ya pili tayari ni Yanga SC yenye pointi 55 sasa baada ya leo kuifunga JKT Oljoro 2-1 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha ambayo kama itawafunga pia na Simba SC wiki ijayo itafikisha pointi 58, ambazo haziwezi pia kufikiwa na timu za chini yake.

 
Master Fuko ,Mbeya    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Ibrahim Yusuf Y    Sunday, April 13, 2014 19:04:18   
 
Ndugu zangu wa jangwani tukubali matokeo na tujipange kumnyonga mnyama
 
 
Mtoa Maoni: Amandus Mdemu    Tuesday, April 15, 2014 08:19:21   
 
Ukweli ni maendeleo ya mchezo wa mpira nchini Tanzania na sio kila siku simba au yanga, kwa azam fc nawapa big up pia mbeya city nawaomba mwakani hiwe hivi hivi ili tuweze kupata timu nzuri kwenye medani ya kimataifa kupitia klabu zetu hapa nchini.
 
 
Mtoa Maoni: (Nundaa)    Wednesday, April 30, 2014 10:46:36   
 
Noma Mshikaji Azam timu ya juzi inachukuwa Ubingwa mbele ya Watu wazima......!
Lakini some time lazima iwe, Simba na Yanga majungu mengi....!

 
 
Mtoa Maoni: HV275Z9STB    Wednesday, July 02, 2014 00:58:02   
 
The hosetny of your posting shines through
 
 
Mtoa Maoni: peter elikana    Thursday, February 12, 2015 08:17:20   
 
jamani wana jangwani jipangeni kumchinja mnyama
 
 
       Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD