Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"

NewsImages/7114322.jpg
Mzee Gurumo enzi za uhai wake
Sunday, April 13, 2014 6:34 PM
TANZIA! Mwanamuziki Mkongwe nchini Tanzania, Muhidin Gurumo amefariki dunia leo hii majira ya saa nane mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu
INNALILAHI WA INNA ILAYHI RAJIOON
TANZIA! Mwanamuziki Mkongwe nchini Tanzania, Muhidin Gurumo amefariki dunia leo hii majira ya saa nane mchana katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.

Kwa muda mrefu Mzee Gurumo amekuwa akisumbuliwa na maradhi mpaka siku ya leo alipotangulia mbele ya haki.

Hili ni pengo kubwa katika muziki wa dansi nchini kwani kwa muda wote wa uhai wake amekuwa akitoa mchango mkubwa katika kuuendeleza muziki huo.

Kifo cha Gurumo kimewagusa wadau mbalimbali wanaopenda na wasiopenda muziki kutokana na umaarufu wake mkubwa aliojingea kupitia kipaji chake kikubwa.

Mtandao huu utaendelea kukupatia taarifa zaidi kadri muda unavyozidi kwenda.

Tafadhali endelea kufuatilia kwasababu timu nzima ipo njiani kueleka nyumbani kwa marehemu.

Mwenyezi Mungu ailaze roho ya Mzee Gurumo mahala pema peponi. Ameni.

 
shaffihdauda    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: veronica    Monday, April 14, 2014 08:47:15   
 
R.i.p

 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Monday, April 14, 2014 12:29:27   
 
Nimesikitika sana kwa msiba huu
Jamani Nifahamishe mlikuwa wapi mbona ni muda mrefu hatupati habari

 
 
Mtoa Maoni: JOSEPH TEMBA    Monday, April 14, 2014 23:04:01   
 
Kuhusu kifo mwanamuziki Ngurumo ni pigo kwa tanzania nzima.
 
 
Mtoa Maoni: marthinya    Tuesday, April 15, 2014 12:59:44   
 
mungu amulaze mahali pema pepon mwanamzik mkongwe huyu.
 
 
Mtoa Maoni: Ibrahim Yusuf    Tuesday, April 15, 2014 20:40:42   
 
Kifo cha Gurumo ni pigo kwa Taifa.Je wanamuziki wa leo wana chochote walichochuma kutoka kwake?
 
 
       Jumla kuna maoni (24), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD