Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais

NewsImages/7112394.jpg
Wednesday, February 12, 2014 7:07 AM
HAya ni majina ya waliochaguliwa na Rais kuingia ndani ya Bunge la Katiba watakaojiunga na wabunge wengine kufanikisha kupatikana kwa katiba mpya
TAASISI ZISIZOKUWA ZA KISERIKALI- (WAJUMBE 20

TANZANIA BARA (13)

1. Magdalena Rwebangira
2. Kingunge Ngombale Mwiru
3. Asha D. Mtwangi
4. Maria Sarungi Tsehai
5.Paul Kimiti
6.Valerie N. Msoka
7.Fortunate Moses Kabeja
8.Sixtus Raphael Mapunda
9.Elizabeth Maro Minde
10.Happiness Samson Sengi
11. Evod Herman Mmanda
12.Godfrey Simbeye
13. Mary Paul Daffa

TANZANIA ZANZIBAR (7)

1. Idrissa Kitwana Mustafa
2. Siti Abbas Ali
3. Abdalla Abass Omar
4. Salama Aboud Talib
5. Juma Bakari Alawi
6. Salma Hamoud Said
7. Adila Hilali Vuai

 
Na Mwandishi Maalum, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Juma Bakar KIJI    Friday, February 21, 2014 16:03:23   
 
hii katiba isipendelee taasisi yeyote ile iwe ya serikali au ya mtu binafsi.
 
 
Mtoa Maoni: .waziri mourice    Friday, February 28, 2014 17:30:54   
 
Nawaomba sana ndugu zangu wajumbe wa bunge maalum la katiba jitahidini sana kuifanya kazi iliyoko mbele yenu kwa umakini mkubwa.

Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aanania nzuri ya kulitakia Taifa hili mema ndio sababu akaruhusu tufanye utaratibu wa kutafuta katiba mpya.
Sisi tulioko nje ya bunge tunawategemea sana ili tupate katiba mpya.
Fanyeni kazi mloagizwa acheni ubinafs hakikisheni mnaturudishia Rasimu itakayokuwa na misingi mikuu waloituachia wasisi wa nchi hii.

 
 
Mtoa Maoni: hamisi    Monday, March 10, 2014 09:17:04   
 
imekuwa boring sasa
 
 
Mtoa Maoni: ELIAH JUMA    Saturday, April 05, 2014 10:58:51   
 
Jamani watanzania tuwe makinikatika katiba
 
 
Mtoa Maoni: Ahmad Mbwana    Tuesday, April 08, 2014 11:54:18   
 
Elimu ya kimaumbile si uchawi; ni mahusiano ya vitu halisi yaliyopangwa kutokana
ufuatiliaji na uchunguzi makini wa wanasayansi ambao waliKuwa ni watu wa kawaida.
lakini kwakuwa tu waliamuwa kufanya wakawa ndiyo mlango mkubwa wa maendeleo
katika sehemu nyingI za dunia hii. Wanasayansi hawa hawakutaka kujinufaisha wao
ila ni dunia nzima. Wajumbe wa bunge maalum la katiba changanueni na chunguzeni
kwa makini hii rasimu ya pili kwa faida yetu sote watanzania; matokeo yake yawe
ni utulivu

 
 
       Jumla kuna maoni (13), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD