Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika

NewsImages/7111430.jpg
muonekano wa ukumbi huo
Wednesday, February 12, 2014 6:59 AM
UKUMBI wa Bunge la Katiba umekamilika kwa asilimia 100.


Bunge hilo maalum linatarajiwa kukutana kwa muda wa siku 90 kuanzia FEbruari 18 mwaka huu kwa ajili ya kupitisha katiba mpya ya Tanzania.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amethibitisha kukamilika kwa ukumbi huo mbele ya vyombo vya habari.

Lukuvi amesema ukumbi huo kwa sasa uko tayari na una uwezo wa kuingiza wajumbe 676 huku kukiwa na viti maalum kwa ajili ya walemavu wa viungo.

Imedaiwa Kabla ya Februari 18, wajumbe wote watapewa maelekezo jinsi ya kutumia vipaza sauti na kuelezwa jinsi ya kutumia ukumbi huo kwa ujumla ikiwemo na wajumbe kupewa kadi maalum kwa ajili ya kufungulia milango ya kuingia ndani ya ukumbi mkubwa.

Tayari Rais Kikwete amekwishateua majina ya watu wapatao 201 kutoka makundi mbalimbali ya kijamii, yakiwamo mashirika yasiyokuwa ya kiserikali, vyama vya siasa na taasisi za kidini kuwa wajumbe wa Bunge hilo.

Wajumbe hao wataungana na wabunge 358 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wajumbe 76 wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibar kuunda Bunge la Katiba

 
Na MWandishi Wetu, Dodoma    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: HEKIMA    Saturday, February 15, 2014 19:07:17   
 
Haya wajumbe ndo wameteuliwa ila ni vyema kuangalia masliha ya kila pande husika nikaiamanisha kupatikana usawa kati ya nchi mbili husika bila ya kujali ukubwa wa eneo kikubwa zaidi ni kuapatikana maendeleo kwa taifa.
 
 
Mtoa Maoni: stanslaus     Saturday, February 22, 2014 17:08:17   
 
Mimi binafisi sina maoni ilanawatakia uchambuzi kinifu wa katiba asanteni
 
 
Mtoa Maoni: LAZARO    Sunday, May 04, 2014 16:47:37   
 
NAOMBA WABUNGE WOTE MUWE MAKINI
 
 
Mtoa Maoni: kmTugMbh4fwr    Tuesday, July 01, 2014 15:52:58   
 
Unelaralelpd accuracy, unequivocal clarity, and undeniable importance!
 
 
Mtoa Maoni: I susppoe that sounds and smells just about right.    Monday, November 23, 2015 16:14:57   
 
I susppoe that sounds and smells just about right.
 
 
       Jumla kuna maoni (6), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD