Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD

NewsImages/7110466.jpg
Wednesday, February 12, 2014 6:44 AM
SAKATA la matumizi ya Mashine za Elektroniki za Kutolea Risiti (EFD), limechukua sura mpya baada leo mgomo kuingia siku ya tatu mfululizo kwa wafanyabiashara kutofungua maduka yao katika mikoa mbalimbali likiwemo Dar es Salaam.

Mikoa iliyoripotiwa kugogma ukiwemo IRinga, Songea, Mara, Kigoma, Mbeya, Mwanza, Dar es Salaam kwa pamopja wameanza mgomo huo juzi kugomea mamunuzi ya mashine hizo wanazodai ni gandamizi kwao.

Wafanyabiashara hao wameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kufikiria upya mfumo wa kuzitumia, vinginenyo watajikuta wanaingia kwenye mgogoro mkubwa baina yao.

Wafanyabiashara hao wametangaza mgomo usio na kikomo kwa sababu mashine hizo zinawasababishia hasara.

Vinginevyo mashine hizo wazitoe bure wafanyabiashara hao walishauri Serikali ili kujijenga kibiashara badala ya kufilisika.

Hivyo kutokana na mgomo huo wananchi wamekuwa wakihangaika kutafuta mahitaji huko na huko na wengine wamekuwa wakigonga mwmba kutokana na kutofunguliwa kwa maduka

 
Na MWandishi Wetu, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: rizi    Thursday, February 13, 2014 00:06:08   
 
tra pamoja na selikali inatakiwa ikae na wafanyabiashara ili wapewe mbinu za kuongeza ulipaji wa kodi siyo kufosi uuzaji wa mashine zisizo na tija kwa wafanyabiashara na pia kama wanataka kuleta mashine wkae na wafanyabiashara waseme ni nashine za namna gani zinatakiwa siyo kufosi kama wanavyotaka tra biashara ni kupata faida siyo hasara huwezi kufosi kuuza bidhaa ambazo hazina tija yoyote na watu wakubali kununua tumieni akili
 
 
Mtoa Maoni: rizi    Thursday, February 13, 2014 00:07:09   
 
tra pamoja na selikali inatakiwa ikae na wafanyabiashara ili wapewe mbinu za kuongeza ulipaji wa kodi siyo kufosi uuzaji wa mashine zisizo na tija kwa wafanyabiashara na pia kama wanataka kuleta mashine wkae na wafanyabiashara waseme ni nashine za namna gani zinatakiwa siyo kufosi kama wanavyotaka tra biashara ni kupata faida siyo hasara huwezi kufosi kuuza bidhaa ambazo hazina tija yoyote
 
 
Mtoa Maoni: david julius    Thursday, February 13, 2014 13:24:53   
 
selikali hainabudi kuangalia njia mbadala ya kutatua hili tatizo mapema manake swala hili litazidi kuleta hasara kwa wote na pia hivyo tutakuwa hatujengi tunabomoa TAFADHALI VIONGOZI WETU NI VYEMA TUONYESHE UMOJA KATIKA HILI KWASABABU SWALA HILI NI LETU SOTE NA HII NI NCHI YETU WENYEWE TUSISUBIRI MPAKA WATALAM KUTOKA NJE KWAAJILI YA KUTATUA TATIZO HILI.Mungu ibariki afrika Mungu ibariki tanzania.
 
 
Mtoa Maoni: NAITWA D0TO NYUNZA NIKWELISABABUNIMUZULI    Wednesday, March 05, 2014 16:40:34   
 
NIKWELISABABUNIMZULI
 
 
Mtoa Maoni: Rehema    Tuesday, April 08, 2014 09:59:10   
 
selikali inatakiwa ikae na wafanyabiashala ili wafikie muhafaka juu ya mashine zilizo tolewa na TRA ili muhafaka ufikiwe kwakuondolewa izo mashine au uwekwe mfumo mwingine wa ulipaji wa mapato au kodi ilikuondoa mgogoro uliopo, iliwafanyabiashara wapate faida na sio hasala.
 
 
       Jumla kuna maoni (13), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD