Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira

NewsImages/7105646.jpg
Sunday, February 02, 2014 8:12 AM
RITHA MALECELA [35] ameuawa kinyama kisha kichwa chake kimetelekezwa katika uwanja wa kuchezea mpira kikiwa kwenye sufuria huko mkoani Rukwa.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Rukwa, Jacob Mwaruanda, alisema tukio hilo la kinyama lilitokea mwanzoni mwa juma huko katika Kijiji cha Kisa wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa.

Taarifa zilizotolewa na polisi wilayani humo zilisema, mwanamke huyo alikuwa mke wa mtu na aliwahi kumtoroka mume wake na kwenda kuishi na mpenzi wake aliyetambulika kwa jina la Josephat Chinga (32) na siku chache baadae nako kwa mpenzi wake huyo hakuonekana ghafla na baadae ndipo alikutwa ameuawa.

Kamanda Mwaruanda alisema, kichwa cha mwanamke huyo kilikutwa ndani ya sufuria na pemezoni kulikutwa karatasi lililokuwa na ujumbe ambao baada ya kusomwa iligundulika iliandikwa na mmoja wa wauaji.

Mtu aliyeandika barua hiyo alifafanua aliandika ujumbe huo baada ya aliyewatuma kumuuwa mwanamke huyo kushindwa kuwalipa ujira waliyoahidiana hivyo kuamua kumlipua na kuorodhesha majina ya wote waliofanikisha mauaji hayo.

Mtu huyo alifafanua kwua aliyewatuma alikuwa na lengo la kuchukua viganja vya marehemu huyo kwani alikuwa na faida navyo kwa kuwa ilisemekana vilikuwa na alama ya ‘M’ angevipata angetenezea dawa ya utajiri.

Mtu huyo alifafanua kuwa, waliahidiwa kulipwa shilingi laki nne kila mmoja aliyefanikisha mauaji hayo.

Kufuatia tukio hilo tayari watu wanne wameshakamatwa na wako mikononi mwa jeshi la polisi

 
Kutoka Polisi, Rukwa    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Fatma Kiliza    Sunday, February 02, 2014 08:59:31   
 
Watanzani Tumuogope Mungu Dunia Tunapita Mali Zote Tutaziacha,
 
 
Mtoa Maoni: KIPARA CHEPA    Sunday, February 02, 2014 19:25:23   
 
kwani kutorokwa na mpezi ina uma laki turudi kwenye utu kuua zambi
 
 
Mtoa Maoni: eriyo mkapa    Monday, February 03, 2014 11:35:28   
 
naipongeza serikali kupunguza gharama za kuunganishiwa umeme,juhudi za ziada zinatakiwa kuwafikia raia.
 
 
Mtoa Maoni: Sairis Crispin 4m Ruvuma Mbinga    Monday, February 03, 2014 17:39:36   
 
Hakika Wanyongwe.Hawa Staili Kuwepo Duniani.
 
 
Mtoa Maoni: Avod peter 4m sengelema    Tuesday, February 04, 2014 15:41:14   
 
ninaipongeza sana selikali kwa kushusha bei ya umeme vijijini
 
 
       Jumla kuna maoni (20), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD