|
Tuna sifa za kukopa -Waziri |

|
Sunday, February 02, 2014 7:49 AM
LICHA ya kuwepo kwa deni kubwa la Taifa Waziri wa Fedha amesema serikali itaendelea kukopa kwa sababu bado ina sifa za kukopa kwa kuwa kiwango cha deni ni asilimia 28 wakati ukomo wa kukopa ni asilimia 50. |
Amesema serikali ya Tanzania ni lazima ikope itakopa fedha kwa masharti nafuu kwani bado ina sifa.
Amefafanua fedha zitakazokopwa zitatumika kwenye miradi ya maendeleo ya miundombinu zikiwemo barabara, reli, bandari, bomba la gesi.
"Ni kazima tukope hata kama daeni ni kubwa, deni linalipika na si tukome kukopa lahasha" Waziri |
|
Na MWandishi Wetu, DAr
|
|
|
|
|
Mtoa Maoni:
SEEKER-OF-TRUTH
Sunday, February 02, 2014 16:39:19
|
|
Mtoa Maoni:
One nation
Thursday, February 06, 2014 21:52:10
|
|
Mtoa Maoni:
Elias Martin Wa Darasa La 5 Shule Ya Msingi Osteti
Thursday, March 06, 2014 12:39:53
|
|
Mtoa Maoni:
matias yamay's
Thursday, March 06, 2014 12:45:36
|
|
Mtoa Maoni:
The answer of an expetr. Good to hear from you.
Monday, November 23, 2015 17:41:40
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Habari zaidi za Tanzania |
...Habari Zaidi
|
|
|