Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa

NewsImages/7103718.jpg
Sunday, February 02, 2014 7:43 AM
DENI LA TAIFA lafikia Shilingi Trilioni 27.04 hadi kufikia Desemba mwaka jana.
Hivyo kila Mtanzania anadaiwa sh.600,000/ bila kujali kama ni mtoto, mzee, mfanyakazi au masikini.

Hiyo imetokana na gawanyo lililofanyika ya kuwa na jumla ya watanzania wapatao milioni 45.

Deni hilo la Tanzania limegawanyika katika sehemu mbili ambapo deni la nje ni Sh. trilioni 20.23 na la ndani ni Sh. trilioni 6.81.

Ongezeko la deni hilo imetokana na mikopo iliyopokelewa na serikali ambayo muda wake wa kulipa haujafika kutoka vyanzo vya masharti nafuu na ya kibiashara na malimbikizo ya deni la nje kiasi cha dola za Marekani milioni 801.7 kwenye nchi zisizo wanachama wa jumuiya ya wahisani.

Hayo yalibainishwa na Waziri wa Fedha, Bi. Saada Mkuya Salum, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari.

 
Na MWandishi Wetu, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: neem    Sunday, February 02, 2014 19:00:29   
 
Kila Mtanzania anadaiwa sh.600.000
bila kujali kama ni mzee au mtoto
mfanyakaki au maskini,kwa hayo
madeni.Kwa upande wangu sisawa,ingekuwa kuna faida ya
kuinua watu wachini,na kuwapatia mitaji wajitegemee,kupatiwa madawa
hospitalini kama Zamani za mwalimu
Nyerere,hospitalini wagonjwa hawalali chini wakina Mama na watoto(maternity) kunavifaa vyakutosha.Hapo ata Kila Mtanzania
akidaiwa sh.Laki SITA ata zaidi
atatoa bila kusita.Kukopa bila mipango mizuri umaskini utaendelea naTZ kuregret 
 
Mtoa Maoni: Rajabu Ganga    Monday, February 03, 2014 16:48:26   
 
tutalipa haina shaka maana mungu alishasema asie nachop apokonywe mwenye nacho aongezwe hatuna budi kulipa ikithibiti maana ndio majaliwa yetu kulipa na kukopa
 
 
Mtoa Maoni: WEWE!!!    Monday, February 03, 2014 19:39:38   
 
@ Rajabu Ganga, ni mungu yupi huyo aliesema " asie nacho apokonywe mwenye nacho aongezwe".

Mungu wa kweli kasema kinyume na unachosema wewe. Ndio maana kaamrisha Zakaa.

 
 
Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Monday, February 03, 2014 19:44:57   
 
neem, WEWE UME HADITHIWA KUHUSU ENZI ZA NYERERE AU ULIKUA VIJIJINI?

WATU HATA UGALI TUSHAWAHI KUKOSA WAKATI WA MW. NYERERE HASWA MIJINI. NA HOSPITALINI KULALA CHINI ILIKUA KAWAIDA.

MISHAHARA ILIKUA HAITOSHI HATA NUSU WIKI.

KILA MTU APEWE HAKI YAKE.

 
 
Mtoa Maoni: mkweli    Tuesday, February 04, 2014 16:34:50   
 
haya yote yanatokana na mafisadi na sasa wanahangaika serikali ziwe mbili ili wazidi kutuibia kupitia muungano feki. najuwa tukipata serikali yetu halali ya Tanganyika hawathubutu kutuibia, tutafunga mtu jela maisha na kuuwa kabisa, sisi huku vijijini shule hazina walimu, vifaa, umeme, maji halafu mnasema tunadaiwa mtalipa nyinyi mnaokaa mijini sisi deni hili sio letu
 
 
       Jumla kuna maoni (22), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD