Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ

NewsImages/7096970.jpg
Mtuhumiwa pichani aliyevalia mavazi ya JWTZ akiwa katika kibano
Monday, January 20, 2014 11:32 PM
EDWIN John Mponji (31) anashikiliwa kwa tuhuma zakudaiwa kufanya uongo kwenye ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga kwa kujitambulisha kwamba yeye ni Koplo wa Jeshi la Wananchi [JWTZ].
Imedaiwa kijana huyo alifika katika ofisi hizo na kutaka kuonana na mkuu huyo na kujitambulisha kuwa ni askari kutoka jeshi hilo huku akiwa amevalia mavazi hayo hali ya kuwa yeye si askari kutoka jeshi hilo.

Imedaiwa koplo huyo feki alikuwa akihitaji kijana wake afanyiwe mpango wa kuingizwa katika Jeshi la Kujenga Taifa.

Mponji alikwenda katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego huku akijitambulisha kuwa yeye ni Ofisa wa JWTZ aliongozana na kijana Emmanuel Joseph akitaka afanyiwe mpango ili aweze apate nafasi.

Wakati wa maelezo yake ofisini hapo akatiliwa shaka na ndipo ikatolewa amri ya kushikiliwa kwa mahojiano zaidi.

Ndipo ilipogundulika kuwa Mponji si askari kutoka JWTZ na alipopekuliwa zaidi nyumbani kwake alikutwa na sare za JWTZ zikiwa na cheo cha koplo.

Alipotakiwa kutoa maelezo ni wali alizipata sare hizo alishindwa kutoa majibu na katika mahojiano zaidi iligundulika baada ya kukiri kuwa aliwahi kumaliza mafunzo ya Jeshi la Kujenga Taifa kikosi cha 841 KJ Mafinga.

Mkuu wa Wilaya hiyo alitoa agizo kutoka jeshi la polisi na jeshi la Wananchi mtuhumiwa huyo aendlee kubanwa ili mtandao wake ubainike
 
Na MWandishi Wetu, Tanga    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Tuesday, January 21, 2014 16:01:01   
 
Kwa hivyo kosa ni kujifanya kwake kuwa Koplo! Kumbe angekua koplo wa ukweli atakua na haki ya moja kwa moja kupata ajira?

Hii ni kwa sababu anajua system ya kwetu. Ukiwa hujulikani kamwe hutapata kazi, hata uwe na shahada ya aina gani.

 
 
Mtoa Maoni: YUNI    Wednesday, January 22, 2014 18:09:16   
 
Huyo afanyiwe adhabu iwe fundisho kwa wengine kwa7bu hao ndohuwa wana2sumbua kwenye nchi ye2.
 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Friday, January 24, 2014 17:54:36   
 
Huyu ni mpuuzi sana na mjinga na uwezo mdogo wa kufikiri
 
 
Mtoa Maoni: pascal    Tuesday, January 28, 2014 15:33:27   
 
huyo anaihujum nchi aojiwe ipasavyo
 
 
Mtoa Maoni: MANUU KIMAMBO    Sunday, February 02, 2014 00:45:59   
 
MIMI MWEYEWE NIMEKUBALI
 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za Tanzania
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD
> Mwenyekiti wa CCM Dar aburuzwa mah akamani kwa kusambaza ARV bandia
> BUNGE LA KATIBA LAIVA, JK ataja majina
> Askari afariki dunia kwa kupigwa na jiwe kichwani na mahabusu- ARUSHA
> Serikali yatangaza neema vijijini kuunganisha umeme
> Mwanamke auawa,kichwa chake chakutwa uwanja wa mpira
> Tuna sifa za kukopa -Waziri
> Kila Mtanzania anadaiwa Sh.600,000/ deni la Taifa
> Askari watano wafariki katika ajali -DODOMA
> Hawa hawakuguswa katika mabadiliko mapya
> SURA MPYA
> Rais Kikwete awabwaga watano waliokuwa kwenye baraza la zamani
> Rais Kikwete awaapisha Mawaziri wapya aliowateua
> 13 wapoteza maisha katika ajali -Singida
> Akamatwa kwa kosa la kujifanya Koplo wa JWTZ
> 9 wapoteza maisha katika ajali ya basi -LINDI
> Mkapa achapisha vitabu vya hotuba zake
> 15 wapoteza maisha mgogoro wa ardhi Kiteto
> Wananchi wachoma moto basi lililouwa watoto watatu

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD