Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3

NewsImages/7021778.jpg
Sunday, October 20, 2013 5:17 PM
Vijana wa Jangwani, Yanga wameshindwa kulinda magoli matatu waliyoyapata kipindi cha kwanza na kuwaruhusu Simba kusawazisha magoli yote kwenye kipindi cha pili. Mechi imeisha Simba 3 - Yanga 3.
Yanga ilienda mapumziko ikiwa mbele 3-0 kufuatia magoli yaliyofungwa na Ngassa dakika ya 14 wakati Kiiza aliipatia Yanga magoli mawili kwenye dakika za 35, 45.

Kipindi cha pili Simba ilifanya mabadiliko na walitoka Abdulhalim Humud na Chanongo na kuingia William Lucian na Said Hamisi.

Mabadiliko hayo yalibadilisha upepo wa mchezo kwa Simba kuanza kuutawala mchezo na kuwapeleka spidi Yanga.

Simba ilipata magoli mawili ya haraka kupitia kwa Betram Mombeki dakika ya 55 na Joseph Owino dakika ya 57.

Dakika ya 83, Gilbert Kaze aliipatia Simba bao la tatu akiunganisha krosi safi ya faulo iliyopigwa na Chollo na kuifanya mechi hiyo imalize kwa Simba 3-3 Yanga.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: michael A    Sunday, October 20, 2013 20:44:09   
 
Nawapongeza wachezaji wa simba kwa jitihada zao na kurudisha mabao matatu maoni yangu viongozi wasiingilie benchi la ufundi katika upangaji wa timu.
 
 
Mtoa Maoni: GRA HOPE    Monday, October 21, 2013 10:37:53   
 
Wachezaji wa Yanga ina maana hamkujua kuwa mpira ni dakika 90?Mnaruhusu mabao yote matatu yarudi kipindi cha pili? Uongozi kuna haja ya kuanza kuitathimini safu ya ulinzi ya Yanga na sio kufurahia majina makubwa tu ya walinzi.Bila hivyo,mwisho wa msimu na michezo ya kimataifa mtaumbuka.
 
 
Mtoa Maoni: www.rusumo.net    Monday, October 21, 2013 16:41:13   
 
Napenda kuwapongeza wachezaji wote wa Simba na Yanga kwa jitihada walizozionesha katika mchezo huo. Kidogo kidogo sasa soccer la Tanzania linakuwa.
 
 
Mtoa Maoni: Ubuguvu    Monday, October 21, 2013 17:54:18   
 
Yanga mabonya tu
 
 
Mtoa Maoni: Rumao jackson    Tuesday, October 22, 2013 08:45:58   
 
Huo ndio mpira bwana wala tusishangae saaaana mbona ulaya wamezoea
 
 
       Jumla kuna maoni (11), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za michezo
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> MANJI atangaza kuachia ngazi Yanga
> Yanga na Simba Hakuna Mbabe 3-3
> LIVE VIDEO - TANZANIA - IVORY COAST High Quality
> Taifa Stars Yafa Kiume Morocco, Yalala 2-1
> Mechi ya Simba na Yanga Yaingiza Milioni 500
> VIDEO - Nyota wa Liverpool, Suarez Amng'ata Mkono Beki wa Chelsea
> Drogba Aitosa Chelsea na Kujiunga na Galatasaray
> VIDEO - Staili Mpya ya Kushangilia Goli Kwa Makalio
> Yanga Yawabamiza Wasauzi 3-2
> Yanga Yatoka Droo na Wajerumani
> Zanzibar Heroes ya futwa kwa utovu wa nidhamu
> KILIMANJARO STARS YATOLEWA CHALLENGE
> VIDEO - Jamaa Anayeipenda Yanga Kuliko Kitu Chochote
> Simba na Yanga Hakuna Mbabe, Zatoka Sare 1-1
> Kuiona Mechi ya Simba na Yanga ni 5000/=
> Simba Yashushiwa Kichapo cha Mabao 3-1 na Azam, Yatolewa Kombe la Kagame
> Yanga Yatinga Nusu Fainali Kombe la Kagame, Yaibanjua Mafunzo
> Simba Nayo Yabugizwa 2-0 na URA ya Uganda
> Hispania Ndio Mabingwa Wa Ulaya, Waibugiza Italia 4-0
> Drogba Atimukia China, Kulipwa Kitita cha Nguvu
> Maximo Arudi Nchini Toka Brazili Kuifundisha Yanga
> Beki wa Simba Atimukia Yanga Kwa Milioni 30
> Chelsea Mabingwa Wapya wa Ulaya, Yaizamisha Bayern Munich
> Manchester City Yatawazwa Mabingwa wa Uingereza

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD