Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika

NewsImages/6969722.jpg
Richard Thomas
Friday, September 06, 2013 9:56 AM
Mwanaume mmoja wa nchini Uingereza alizimia mahakamani baada ya kuambiwa kuwa mwanamke aliyembaka alikuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi.
Richard Thomas, 27, alizimia baada ya polisi kumuuliza kama alikuwa anajua kuwa mwanamke aliyembaka alikuwa ni muathirika wa virusi vya ukimwi.

Thomas huku akiwa mnyonge mahakamani alihukumiwa kwenda jela miaka mitano huku akisubiria matokeo yake ya damu kujua kama ameambukizwa virusi vya ukimwi kufuatia tukio lake la kumbaka mwanamke huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni.

Thomas alikuwa akimjua vizuri mwanamke huyo na siku ya tukio alivamia nyumbani kwake usiku na kumbaka mwanamke huyo akiwa usingizini.

Katika tukio hilo lililotokea jijini Manchester, Thomas alishtuka baada ya polisi kumwambia kuwa wanampeleka hospitali kumpima ukimwi baada ya kumkamata kwa tukio hilo la ubakaji.

Thomas aliiambia mahakama kuwa siku ya tukio alikuwa amelewa pombe na madawa ya kulevya aina ya cocaine. Mahakama iliambiwa kuwa alivamia nyumbani kwa mwanamke huyo na kumbaka huku mwanamke huyo akiwa usingizini.

Mahakama iliambiwa kuwa kwa mshtuko wa kuamshwa usingizi kwa tukio hilo mwanamke huyo hakusema kitu alimuangalia Thomas akijimalizia haja zake na kisha akaondoka zake.

"Sikumbuki vizuri nilichokifanya lakini kama anasema nimembaka nitakuwa nimembaka kweli hawezi kusema uongo", alisema Thomas katika hali ya kujuta.

Thomas amehukumiwa kwenda jela miaka mitano na miezi minne huku akisubiria matokeo yake ya HIV ajue kama kitendo chake kimempa maradhi yasiyotibika.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Remmy     Friday, September 06, 2013 22:32:08   
 
Kama itakua ameathirika, itakua ni hukumu tosha. Na pengine itakua fundisho kwa wengine.
 
 
Mtoa Maoni: Jaston dr    Saturday, September 07, 2013 10:48:42   
 
Kama atakuwa na ngoma bac atakuwa amejihukumu mwenyewe maana hakuna aliyem2ma
 
 
Mtoa Maoni: regina    Monday, September 09, 2013 11:59:39   
 
Lakini kwnn huyo aliyebakwa alitulia tuli..angepiga walau yowe. Ila kama atakuwa ameathirika hiyo ni hukumu tosha
 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Monday, September 09, 2013 12:43:52   
 
dawa ya moto ni moto amejitkaia mwenyewe
 
 
Mtoa Maoni: MMARI OMBENI    Monday, September 09, 2013 23:10:08   
 
Duuu kwel mshikaji kateleza hyo nadhani kajihukumu mwenyewe

 
 
       Jumla kuna maoni (72), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD