Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.

NewsImages/6886818.jpg
Picha wanandoa
Tuesday, May 28, 2013 5:01 AM
Wanafunzi wa wasagaji wenye asili ya Pakistan ambao wanaminika kuwa ni waumini wa dini ya kiislamu, wamefunga doa ya jinsia moja nchini Uingereza, na kuwafanya wawe wanawake wa kwanza waumini wa kwanza wa dini hiyo kuripotiwa kufunga ndo aina hiyo.
Wanawake wawili wasagaji wanaoaminika kuwa ni waislamu wamefanya sherehe ya ndoa yao ya jisia moja nchini Uingereza, wanandoa hao wasagaji wanaofahamika kwa jina la Rehana Kausar (34) na Sobia Kamar (29) walifanya sherehe ya harusi yao katika eneo la Leeds mapema mwezi huu, na baada ya ndoa hiyo waliyomba hifadhi ya ukimbizi wa kisiasa nchini humo.

kwa mujibu wa gazeti la Independent la nchini Uingereza, limesema kuwa wanandoa hao walingia kwa mara ya kwanza nchini humo kwa ajili ya masomo katika chuo kikuu cha Birmingham.
Wanandoa hao wamekuwa wakipokea vitisho vya kuuliwa wao na familia zao zilizopo Pakistan, ambapo vitendo vya usagaji ni kinyume na sheria nchini humo.

Uingereza imetupa haki yetu ya binafsi, na uwamuzi huu ambao tumeuchukua ni uwamuzi binafsi, ambao hakuna mtu kuingilia katika maisha yetu binafsi, alisema mmoja ya wanandoa hao wakati akihojiwa na moja ya gazeti la ndani la uingereza.

Aliendelea mwanandoa huyo kwa kusema tatizo la Pakistan kwamba kila mtu anadhani kwamba anajukumu kwa maisha ya wengine, na anaweza kufanya uamuzi bora kuhusu maadili ya mwengine, lakini hii si njia ya haki.

Dini ya kiislamu inapinga vikali vitendo vya ushoga na usagaji, na waislamu wengi wanachukizwa na vitendo hivyo.

 
nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: rahaa!    Wednesday, May 29, 2013 00:29:12   
 
Binaadamu tumekweisha Yarabi toba hawa kweli Waislam au wanataka kuupotosha tu na kama kweli waislam basi ishallah Allah Subhana Wataala atawalipa hapa hapa duniani!
 
 
Mtoa Maoni: mvumilivu    Wednesday, May 29, 2013 05:57:54   
 
hizo ndizo mbinu mpya za kujiripua sasa, ukitaka kupata uraia hiyo ndio njia nyepesi na wala husumbuliwi, mwanamke amuoe mwanamke mwenziwe au mwanammme aolewe na mumue mwenziwe utapewa support zote na wala hakuna shida. mkitoka mahkmani kila mtu na shauri lake mradi mnaonyesha kukaa pamoja na yenu yanawaendea
 
 
Mtoa Maoni: Kijambia    Thursday, May 30, 2013 10:09:10   
 
Ndoa ili iwe ndoa ni lazima jinsia ziwe tofauti. Wale wote wanaosema kuwa wanaowana kwa jinsia moja, wanakaa pamoja tu lkn sio ndoa na kwa upande mwengine wanapaswa kupimwa akili. Ingawa wazungu kwa hili wanaliona ni sawa lakini ni moja kati ya upungufu wa akili. Wanasaikolojia lifanyieni kazi hili haraka sana.
 
 
Mtoa Maoni: LUBANGULA FROM KOROGWE TTC    Thursday, May 30, 2013 23:53:16   
 
Hizi ndo nyakati za mwisho!!..jinsia moja wanaoana huu cjui 2uite ni upunguani ama nn?,watu wanamna hii wanaenda kinyume na maagizo ya mwenyezi mungu,WANAMJARIBU BWANA MUNGU WAO!!,wanachokifanya ni kuhamisha kitu kwenye hamna na kuweka kwenye hapana..duuu!!
 
 
Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Friday, May 31, 2013 15:01:41   
 
Kwa wale walioishi UK wanajua jinsi ya kupata sheria nchi hio. Muislam ni yule aliejisalimishe kwa sheria ya Mola. Hivyo ndoa ya Uingereza ambayo pia inaruhusu mbwa kurithi sio kipimo cha uislamu wa mtu. Hao ujahili wao umewaonyesha njia ya short-cut kutafuta riziki. waoneeni huruma tu. Na mkiweza muwakumbushe kua watakutana na mola wao siku ya siku.

 
 
       Jumla kuna maoni (32), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD