Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa

NewsImages/6885854.jpg
wanafunzi waliyofukuzwa
Saturday, May 25, 2013 12:27 AM
Katika hali ya kupambana na kasi ya mmomonyoko wa maadili nchini Jordan, Wanafunzi watatu wa kike wazuiwa kuingia darasani kwa sababu ya ugeni wa nguo walizovaa, kwa madai kuwa kinyume na maadili ya chuo hicho.
Wakati baadhi ya wanafunzi wa kike wa vyuo vikuu nchini Tanzania, wakilalamikiwa kuwa nguo ambazo wanazovaa ni kinyume na maadili ya kitanzania na zinachochea kwa kiasi kikubwa vitendo vya ngono zembe.

Hali ni tufauti huko nchini Jordan, Chuo Kikuu cha Petra Jodan, kimefikia uwamuzi wa kuwazuia wanafunzi wake watatu wa kike nje ya jengo la chuo hicho katika lango kuu la kungilia chuoni hapo kwa sababu ya mavazi waliyovaa wanafunzi hao.

Kutokana na ugeni wa vazi walilolivaa wanafunzi hao chuoni hapo, walipewa jina la wasichana wa baraka, wanafunzi hao walivaa mavazi yenye kufanana rangi, viatu, suruali za kubana na brauzi zenye kuonyesha sehemu kubwa ya migongo yao, huku wakiwa vichwa wazi.

Askari wenye dhamana ya kuhakikisha usalama unakuwepo chuoni hapo, waliwambia wanafunzi hao waondoke katika eneo hilo la chuo, kwa madai kuwa mavazi waliyovaa hayaendani na sehemu hiyo inayojihusisha kutoa elimu.

Katika siku za hivi karibuni Jordan imekuwa ikikabiliwa na maandamano ya kiraia wakidai uhuru katika mambo mbalimbali.

 
wanafunzi waliyozuiliwa    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: maical    Saturday, May 25, 2013 09:48:51   
 
UNAA AMBIWA SAMAKI MKUNJE BADO MBICHI SASA NASISI TANZANIA ASILIMIYA VIOGOZI WETU WANASHULIKA NA CCM CHADEMA COFU WAMEISAHAU ICHI VIOGOZI SIYO WAKALI KUISIMAMIYA NCHI KWA MADILI MAZURI YA KIESHIMA KWASASA UTAKUTA WATOTO WATE WA WAKUBWA NDIYOO MWATAJIRI NDIO WANAFAYA WANAVYOTAKA WANAWAKE WANAVA WANAVYOTAKA WANAUME WANAFAYA BIYASHARA HARAM ZA UGA WANAUWA WATU KWA BASTOLA WANAJUWA BABA YAGU YUKOSEREKALINI AU BABA TAJIRI AU BABA RAFIKI WA KIGOGO FULANI ANAJUWA HAWEZI KWEDAJELA HII NDIYO TANZA
 
 
Mtoa Maoni: FISA    Saturday, May 25, 2013 10:02:16   
 
WEWE WASHATU SEREKALIYETU SIYO YA WATANZANIA NISEREKALI YA WATUFULANI WANAO TAFUTA MASLAHA YAOO WATU HAWAPEWI HAKIZAOO WANAZULIMIWA NIKUTUDAGAYA KWEYE VIPAZASAUTI SASA HIVI MAGAZEETIYOTE YANAONESHA PICHA CHAFU NA DADA ZETU WANATEMBEA UCHI WATAKAKUSEMA RASI AU MAWAZIRI AU WAKUBWA WAPOLISI HAWASOMI MGAZETI AU HAWAONI WAKOBIZEE NA MAMBOYAO BINAFSI
 
 
Mtoa Maoni: SEEKER-OF-TRUTH    Saturday, May 25, 2013 12:21:52   
 
Wanafunzi wa namna hii, vichwa pumba tupu. Ni bora wakatafute sehemu ya kuonyesha utupu wao, sio katika sehemu inayotaka kujenga jamii. Wenzetu ulaya walichanganyikiwa zamani, hawajui waendako. Wanabadilisha sheria kila leo.
 
 
Mtoa Maoni: Urio    Saturday, May 25, 2013 12:21:58   
 
Chakushangaza nikwambaukifika air port wameandika hairuhusiwi kuingiza picha za matusi.Lakini ukifikahuko mijini magazetiya picha zauchi tele na yameandikwamaneno ya aibu hasa kwa wazazi mbeleya watotowao.Swali ni kwamba,kwani picha za matusi nizakutoka nje lakini za kuchapishwa hapo nchini sio matusi.Hizo vidio za matusi zinazo onyeshwa huko mitaani kwenye vibanda hua zina toka wapi,kwanini zisizibitiwe kwavile kuanzia balozi wa mitaa hadivio ngizi wa juuwana jua.Hizindiochanzochaubakaji
 
 
Mtoa Maoni: mzee wa m    Saturday, May 25, 2013 17:20:56   
 
na hapa kwetu tz wapatikane walinzi kama hao mambo yatakuwa mazuri watavaa mavazi ya eshima

 
 
       Jumla kuna maoni (66), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD