Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.

NewsImages/6832834.jpg
Robert Schiavelli
Friday, March 15, 2013 3:43 PM
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Robert Schiavelli (42) amefikishwa kizimbani mjini new york kwa tuhuma za kuchafua hali ya amani na utulivu kwa kucheka kwa sauti kubwa.
Mtu mmoja anayefahamika kwa jina la Robert Schiavelli (42) amefikishwa kizimbani mjini new york kwa tuhuma za kuchafua hali ya amani na utulivu kwa kucheka kwa sauti kubwa.

Schiavelli ni mkazi wa kitongoji cha Rockville Center katika jimbo la New York nchini Marekani, alisema kamwe hakuwai kufikiria kwamba ipo siku kucheka kwa sauti ya juu kuna weza kumletea matatizo kiasi cha kufikishwa katika vyombo vya sheria.

Schiavelli alikamatwa nyumbani kwake baada ya malalamiko ya majirani zake, Schiavell anasumbuliwa na ulemavu wa mishipa ya fahamu na amekuwa akitumia kucheka kwa sauti ya juu kama mbinu ya kujirinda.

Polisi katika kituoa cha Rockville Center,imempiga faini Schiavelli ya dola 250 au kwenda jela siku 15, kwa kosa la kuvuruga amani wakati wa usiku.

Wakili anayemtetea Schiavelli, bwana Andrew Campanelli amesema kuwa atapambana kwa nguvu zote kuhakikisha mteja wake anatoka jela.

 
Na nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: mimi    Friday, March 15, 2013 15:58:29   
 
da hio kiboko tena hadi kicheko kinampeka mtu ktk vyombo vya sheria.
Haya kwetu je hizi sehemun za starehe zinazofanya fujo ck za weekend je zinafachukuliwa hatua gani

 
 
Mtoa Maoni: omari mjata    Friday, March 15, 2013 21:41:34   
 
wale watu wa haki za
Binaadamu wako wapi
Au hii sio haki ya binaadamu

 
 
Mtoa Maoni: Omar    Friday, March 15, 2013 21:50:16   
 
Hapa kwetu watu wengi wanacheka kwa sauti kubwa wakati wanaongea kwenye simu lakini hiyo picha hapo juu sio ya Robert Schifelli ingia googles utaona Robert ni mtu kijana aliyevaa koti nyeusi, shati nyeupe na kofia nyesi.

 
 
Mtoa Maoni: Boniface burton    Saturday, March 16, 2013 22:10:26   
 
hata bongo ingekuwa kama hii ingekuwa pouwa sana, wale wanafungu saut ya kubwa ya radio wakat wa ucku wangekoma
 
 
Mtoa Maoni: jack    Monday, March 18, 2013 09:34:26   
 
Sheria msumeno
 
 
       Jumla kuna maoni (15), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD