Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane

NewsImages/6763426.jpg
Moja ya mashamba nchini Misri
Wednesday, January 16, 2013 4:41 AM
Benki ya Maendeleo na Mikopo ya Kilimo nchini Misri, imekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na ujane, itakuwa ikitoa mikopo kwa wakulima wadogo wadogo
Kuwasaidia gharama ya ndoa.
Hayo yalisemwa na Rais wa Benki hiyo Dr Mohsen Batran, alipokuwa katika mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika jana (juzi) ambao pia mkutano huo ulihudhuriwa na Waziri wa Kilimo.

Uwamuzi huo umekuja baada ya ya idadi ya wanawake wasiyoolewa kungezeka kwa kiwangu kikubwa, na takwimu zilizofanywa hivi karibuni zimeonyesha kwamba idadi ya wanawake wasiyoolewa nchini Misri, imefikia watu milioni 9.

Mpango huo unalengo kuhimiza ndoa za mitala, kwa masharti ya kuweza kujitosheleza kwa chakula, na kwa watakaoa zidisha ya wawili wataadhibiwa.

Mkopo huo utakuwa kwa mke wa awali watakatwa riba 3%, ambapo kwa ndoa ya pili riba itakuwa ni % 6, na kwa watakaotaka kuoa mke wa tatu wataadhibiwa kwa kupandishiwa riba mpaka % 15.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G    Thursday, January 17, 2013 15:38:01   
 
Mpango wa kurahisisha kuoa / kuolewa ni mpango mzuri sana na laiti kili nchi ifanye juhudi hizi, si Misiri tu hata makwetu.
Itasaidia mengi, ukimwi utapungua, baraka zitazidi, kila mtu atakuwa na mkewe/mumewe na kazi zitapatikana... Hongera waMisiri. ama kuoa zaidi ya mmoja me nadhani iachiwe tu mtu na uhuru wake kwa 7bu ikitokezea mtu kuwza kujikimu baadae, ajihisi yuko huru ktk kuoa idadi itakiwayo kisheria!!

 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Friday, January 18, 2013 16:16:16   
 
TEH TEH TEH,UBUGUVU KAMA NAKUONA KATIKA HII HABARI,J_G SASA KWELI NIMEONA JINSI GANI UMEMCHOKA MINA,HAYA MINA UMEONA KAZI HIYO,DALILI YA MVUA NI MAWINGU HIVYO MINA NI BORA NIKUAZIME MWAMVULI MAPEMA,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: KrlXwsZjTIeGiMK    Monday, February 11, 2013 17:09:07   
 
Damn, I wish I could think of smoehting smart like that!
 
 
Mtoa Maoni: Deo.    Friday, December 06, 2013 17:04:55   
 
Huu ni mpango mzuri kwa watu wa Misri.

Nimefurahishwa sana na utaratibu huu, kwani hata Waseja na watawa wanaweza kukopeshwa pia kuendesha miradi ya kilimo na mingine, kupunguza kuwaka tamaa na kujiingiza katika mikataba ya mikopo yenye masharti magumu kama vile kumfanyia mtu kampeni, ili akupatie mkopo bila kujali hali ya Useja au Utawa wako.

 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD