Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee

NewsImages/6750894.jpg
Mabinti wa Saudia wakiwa
Monday, January 07, 2013 7:47 PM
Katika hali ambayo haikutarajiwa, Msichana mmoja wa nchini Saudi Arabia, mwenye umri wa miaka 15, mkazi wa Jazan kusini mwa nchi hiyo, ametoroka kwa mumewe na kurudi kwa wazazi wake, akipinga kuolewa na mzee.
Msichana huyo alipatwa na hofu kubwa kuolewa na babu huyo, na alipofika nyumbani kwa mume wake alingia chumbani na kujifungia kwa muda wa siku mbili mfululizo, na kisha kurudi nyumbani kwao, Bwana harusi amelichukulia tukio hilo kama mbinu ya kumuibia pesa zake za mahari alizolipa.

Mzee huyo ameliambia Gazeti la Al-Hayat la nchini Saudia, kuwa kesho (leo) Jumaatatu anatarajia kwenda Mkoani Hurata, kwa wazazi wa binti huyo ili kumchukua mke wake au apewe pesa zake za mahari alizotoa, Gazeti la Al-Hayat alikutaja umri wa bau huyo lakini lilimtaja kuwa ni mtu mzima sana.

Kwa upande wake Mjumbe wa Bunge la Haki za Binadamu la nchi hiyo, Bi. Suhaila Zaini Abidin, ametoa wito kwa vyombo vinavyohusika kuingilia kati haraka suala hilo ili kumuoka mtoto huyo na janga hilo, Bi. Suhaila akiongea kwa masikitiko alisema, hakuna makubaliano kati ya wanandoa wenye utofauti mkubwa wa umri kati yao.

Akibainisha kuwa moja ya masharti ya ndoa hayakufuatwa, kitendo cha mtoto huyo kujifungia mlango mwenyewe, hii inaonyesha wazi kuwa hakuna ridhaa ya ndoa, Suhaila aliwatupia lawama wazazi wa binti huyo kwa kusema, kuwa suala hili ni moja ya masuala kadhaa yanayotokea, ambayo yanasababishwa na wazazi kuwalazimisha mabinti zao kuolewa wakiwa na umri mdogo.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Salim    Tuesday, January 08, 2013 05:47:39   
 
Nyie Nifahamishe habari izi mmepata wapi???? Nime search magazeti yote ya Saudi sikuona. Ok kumbe hamjuwi ku translate lugha ya kiarabu wameandika nini na nyie mmeandika ya kwenu bcs hamjuwi kiarabu pumbaf yenu
 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Tuesday, January 08, 2013 09:07:53   
 
kila gazeti lina sera na muundo wake.Nifahamishe wana sera yao na moja wapo ni kutuletea matukio kama haya ya ajabu ajabu.Hawalazimiki kutoa taarifa kuwa zimetoka wapi.Mambo ya mitaani ni vigumu kuyakuta kwenye internet
 
 
Mtoa Maoni: Mang    Tuesday, January 08, 2013 10:16:22   
 
Nifahamishe ni chombo huru! Sio kila tukio la nchi fulani utaliona ktk magazeti ya nchi hiyo! Marais wangapi wanahojiwa na vyombo vya nje ya nchi zao? Pia jua kuwa kwa baadhi ya Nchi zinaficha habari zake hasa za ukiukwaji haki za binadamu kama hizi! Kwa mantiki hiyo usitarajie vyombo vya nchi hiyo vieleze tukio la aibu kama hili! Amka elewa jamii zinavyoishi!
 
 
Mtoa Maoni: J_G    Tuesday, January 08, 2013 15:32:18   
 
Habari hii ipo mitandaoni na imejaa tele kama ukosefu wa umeme nchini kwenu tz. KDDDK
yup! ktk masuala yenye utata ni kama haya, iyo ndoa ilikuwa kwa kulazimishwa? Na yo babu mzee naye hakushtukizia dili la kutaka kuliwa hela zake, kw kuwa ndoa km hizi kinachofuatwa ni hela? Nani atarudisha haki ya nani na vipi?

JAMROCK bola ukae bila ya ndoa T3H T3H T3H. UBUGUVU kaoa kazee kake ka mdhungu anaishi kwa laha sana, ila hafaidi kitu! KDDDK!

 
 
Mtoa Maoni: Uncle D    Wednesday, January 09, 2013 10:23:58   
 
Ingekuwa ni hivo hata habari za magazeti ya Udaku ungezikuta kwenye internet kila gazeti na sera zake
 
 
       Jumla kuna maoni (14), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD