|
Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani |

Obama akiwahutubia wafuasi wake |
Wednesday, November 07, 2012 12:06 PM
Rais Barack Obama amembwaga mpinzani wake Mitt Romney na kuchaguliwa tena kuwa rais wa Marekani kwa miaka minne ijayo. |
Rais wa kwanza mweusi nchini Marekani, Barack Obama amefanikiwa kwa mara nyingine kushinda uchaguzi na ataendelea kuliongoza taifa la Marekani kwa miaka minne ijayo.
Obama amefanikiwa kupata jumla ya kura za majimbo ya uchaguzi 303 wakati Romney akiambulia 206.
Katika hotuba yake ya ushindi jijini Chicago, Obama alisema kuwa atamuomba mpinzani wake Romney wafanye kazi pamoja kulijenga taifa la Marekani.
Naye Romney akiongea na wafuasi wake mjini Boston, alitoa pongeza zake za dhati kwa Obama na timu yake. |
|
Nifahamishe.com
|
|
|
|
|
Mtoa Maoni:
ubuguvu
Wednesday, November 07, 2012 13:09:42
|
|
Mtoa Maoni:
Caskill Oscar
Wednesday, November 07, 2012 22:23:15
|
|
Mtoa Maoni:
Caskill Oscar
Wednesday, November 07, 2012 22:24:51
|
|
Mtoa Maoni:
KAMBARANGA
Thursday, November 08, 2012 02:38:21
|
|
Mtoa Maoni:
J_G aka
Thursday, November 08, 2012 02:51:31
|
|
|
|
|
Jumla kuna maoni (13), Soma maoni yote |
|
|
|
Habari zaidi za dunia |
...Habari Zaidi
|
|
|