Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo

NewsImages/6667026.jpg
Rais Barack Obama
Tuesday, November 06, 2012 1:06 PM
Raia wa Marekani wanaingia kwenye uchaguzi leo kuamua kama rais Barack Obama apewe muhula wa pili wa urais au mpinzani wake Mitt Romney ndiye apewe nafasi hiyo katika taifa hilo kubwa duniani.
Baada ya kampeni za muda mrefu hatimaye kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Urais wa Marekani kinafikia tamati leo kwa raia wa Marekani kupiga kura kumchagua rais atakayeliongoza taifa hilo kubwa duniani kwa miaka minne ijayo.

Rais Obama ambaye ni mgombea wa chama chake cha Democratic anachuana vikali na mgombea wa Republican Mitt Romney ambapo hadi sasa haitabiriki nani atashinda ingawa Obama anapewa nafasi kubwa ya kutetea kiti chake cha urais.

Mwaka 2009, Obama alikuwa mtu wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa rais wa Marekani ambapo mshahara wake ulikuwa ni dola 400,000 kwa mwaka.

Obama alitoa ahadi mbali mbali ambapo baadhi aliweza kuzitimiza na baadhi ameshindwa kuzitimiza.

Jana Obama na Romney walifanya kampeni zao za mwisho za kuwashawishi wapiga kura ambapo Romney alikwenda Florida na baadae kwenye majimbo ya Virginia, New Hampshire na Ohio wakati Obama kwa upande wake akipewa tafu na rapa Jay-Z alimalizia kampeni zake kwenye majimbo ya Iowa, Wisconsin na Ohio.

Uchaguzi wa Marekani umeligharimu taifa la Marekani dola bilioni 2.

 
Nifahamishe.com    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ubuguvu    Tuesday, November 06, 2012 13:41:40   
 
wengi wameacha ule ushabiki wa obama kwa madai kwamba ni mweusi mwenzao baada ya kuruhusu ushoga na kuzitaka nchi nyengine kufanya hivyo ili zipate misaada, lkn kwakua huyu mpinzani wake ni mbaya zaidi kuliko obama watu wengi wanaona bora waendelee kuwa na mashoga kuliko kuja kushambuliwa kivita lkn kama kungekua na option nyengine ninaimani kubwa hawa jamaa wasingepata
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Tuesday, November 06, 2012 17:04:58   
 
TEH TEH TEH,UBUGUVU KUMBE UPO,MI NILIFIKIRI KIBIBI KINGEKUNYIMA COMPUTER KIPINDI HIKI CHA UCHAGUZI,TEH TEH TEH,HAYA NASUBIRI MATOKEO HUKU,MAANA KUDADEKI KAMA USEMAVYO HUYO MZUNGU AKICHUKUA NCHI KUDADEKI DUNIA ITAKIONA,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: FREDIE MUSANGI    Tuesday, November 06, 2012 21:58:06   
 
Ili jitu leusi liondoke halipendezi kuona liko white house black is black ende akatawale Africa ndio kwao na weusi kazi ya kuchafuwa ovale office atoke nenda kwa bibi yako Kenya
 
 
Mtoa Maoni: Three Brothers    Tuesday, November 06, 2012 22:12:11   
 
Go Obama! 4-more years! Ebo! :) kila la kheri tena watutu (3brothes) sisi tuaamini uta-win.
 
 
Mtoa Maoni: Three Brothers    Tuesday, November 06, 2012 22:12:46   
 
Go Obama! 4-more years! Ebo! :) kila la kheri tena watatu (3brothes) sisi tuaamini uta-win.

 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za dunia
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Mbakaji Azimia Baada ya Kuambiwa Mwanamke Aliyembaka ni Muathirika
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wanawake Waislamu Waowana Ndoa Ya Jinsia Moja.
> Wazuiwa Chuo Kwa Nguo Waliyovaa
> 'Waislamu ni Waovu Waueni Wote'
> Jela Au Faini Kwa Kucheka Kwa Sauti Kubwa.
> Kijasho Chembamba Chamtoka Waziri Mkuu
> Wakulima Wapewa Mikopo Kupunguza Ujane
> Binti Wa Miaka 15 Atoroka kwa Mume kisa Mzee
> Gangnam Style Ina Asili ya Afrika
> Apiga picha za uchi kupinga katiba ya kiislam
> Mwanamke mnene washindwa kumpandisha kwenye Gari la wagonjwa
> Wafufua maiti na kuitembeza mitaani
> Mbunge wa bunge la ulaya ashitakiwa kwa kuwatukana waislamu
> Ajiua kwa Matamanio ya ngono ya mara kwa mara
> Wanawake waitisha mgomo wa ngono Italy
> Mwanafunzi azuiwa kwenda chooni afariki darasani
> Cobra ailazimisha ndege kutua Misri
> Obama Achaguliwa Tena Kuwa Rais wa Marekani
> Wamarekani Kumchagua Rais Wao Leo
> Mlinzi wa Obama Ajiua
> Aliyetangazwa Amekufa, Ahudhuria Mazishi Yake Mwenyewe
> VIDEO - Ukisikia Pombe si Maji....

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD