Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Benki ya Vijana kuzinduliwa

NewsImages/6413494.jpg
Monday, May 14, 2012 7:14 AM
BENKI YA TAIFA ya Vijana inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni mwaka huu.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM –(UVCCM) Taifa, Bw. Martin Shigela amethibitisha hilo.

Amesema juhudi za awali zimeshafanyika na iko katika hatua za mwisho za kupata usajili kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BOT).

Hatua hiyo ikiwa ni lengo la kusaidia vijana na kada nyingine mbalimbali katika kuwapatia mitaji ili wajikwamue kiuchumi 
Na Chondoma Shabani, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: J_G aka    Monday, May 14, 2012 10:15:23   
 
TZ kwa tarabu! hatujambo!! Wizi mtupu!! KDDDK!
 
 
Mtoa Maoni: KORG    Monday, May 14, 2012 19:25:29   
 
Wadua, mko wapi mbona kimya??
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Tuesday, May 15, 2012 04:01:36   
 
TEH TEH TEH,HII ITAKUWA BENKI YA MAGAMBA KUDADEKI,NDIO YALE YA UPATU,PELEKA HELA ZAKO BAADAE UTAAMBIWA KUNA MATATIZO,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: Adolf Yanda    Tuesday, May 15, 2012 04:57:01   
 
toeni elimu kwanza kwa vijana. hiyo iko kama mikakati ya KILIMO KWANZA, ama kweli umasikini kwa kila Mtanzania.

 
 
Mtoa Maoni: Chandolla    Tuesday, May 22, 2012 10:35:01   
 
Nadhani ni wazo mujarabu kabisa, zama hizi kuna uwazi wa kutosha naamini lengo litafikiwa. Tusiweke mawazo hasi katika kila jambo linalobuniwa na CCM kwasababu tu ya makosa machache yaliyopita, tukiwa hivyo tutapitwa na mengi ya msingi.
Hongera vijana wa CCM, kazani kamba.

 
 
       Jumla kuna maoni (20), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD