Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Precision Air yaanza safari za Bukoba

NewsImages/5373338.jpg
Mkurugenzi Mtendaji wa Precision Air, Alfonse Kioko akielezea uzinduzi wa safari za Bukoba
Wednesday, February 02, 2011 3:17 AM
Kampuni ya shirika la ndege la Precision Air limezindua rasmi safari za ndege kwenda Bukoba.
Akizungumza katika mkutano wa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Alfonse Kioko alisema kuwa wanayo furaha kubwa ya kuwafahamisha wateja wetu kuwa tunaaza tena safari za kwenda Bukoba kuanzia tarehe 12 mwezi huu wa pili baada ya kusitisha safari hizo kwa zaidi ya mwaka sasa.

Uzinduzi wa safari hizo unafuatia kumalizika kwa ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Bukoba uliofanywa na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania.

"Huduma ya safari itakuwepo kila siku kutoka Dar es Salaam kupitia Mwanza na kutoka Bukoba kwenda maeneo tofauti katika mtandao wetu," alisema Kioko.

"Tunaanza na bei ya Tshs. 454,000 kwa safari ya kwenda na kurudi," aliongeza Kioko.

Katika safari za Bukoba, Precision Air itatumia ndege aina ya ATR42-500 iliyopewa jina la Bukoba kama ishara ya shukrani kwa watu wa mkoa huo.

 
Na Kalimanzila, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Mang    Wednesday, March 16, 2011 13:18:36   
 
Hongera Shirila la Precision Air, ila nauli muiangalie upya! ni kubwa kwa safari za ndani.
 
 
Mtoa Maoni: joyce rwehumbiz    Thursday, June 02, 2011 12:25:29   
 
Ni kaz nzuri iliyofanywa na shirika la ndege la precision air kwa kuwajali na kuwafikiria watu wa bukoba na wote wenye shuguli zao kule, pia mashirika mengine hayana budi kufanya hivyo kwani ni mbinu mojawapo ya maendeleo. Shukran pia kwa serikali kuupanua na kuukarabati uwanja wa ndege wa Bukoba kwani imewasaidia watu wake.
 
 
Mtoa Maoni: saleh    Monday, August 08, 2011 13:38:28   
 
je nauli ya kutoka bukoba kwenda dar es salaam ni bei gani kwa tshs
 
 
Mtoa Maoni: ayoub stambuli    Wednesday, September 07, 2011 19:30:22   
 
naomba bei ya nauli ipungue watanzania tuliowengi kipatochetu ni kidogo
 
 
Mtoa Maoni: anita    Monday, September 26, 2011 15:22:42   
 
hongera precision air, kwa kuwafiki wateja wa bukoba,natumaini hata bei zenu zitakuwa nafuu
 
 
       Jumla kuna maoni (27), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD