Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Gharama za huduma za simu zazidi kupungua

NewsImages/4308118.jpg
Thursday, April 01, 2010 11:43 AM
KAMPUNI ya Simu za mkononi Tigo imezindua huduma mpya ambayo imepunguza gharama zake na sasa unaweza kupiga simu kwa nusu shilingi kwa sekunde
Huduma hiyo imezinduliwea juzi jijini Dar es Salaam inayojulikana kama Tigo thumuni na kuzidi kuboreshsa huduma hiyo ambayo inaleta faraja wka watumiaji wea mtandao huo nchini.

Awali kampuni hiyo pekee ilikuwa inachaji shilingi moja kwa sekunde kwa mteja wa Tigo akimpigia mteja mwenzake wa Tigo kwa hiyo ilikuwa ni shilingi 60 kwa dakika.

Huduma hiyo ya nusu shilingi imekuja siku mbili tu baada ya kampuni ya Vodacom Tanzania kushusha gharama kwa wateja wake kuwawewezesha kupiga simu kwa shilingi moja kwa sekunde.


 
Na Pilly Kigome, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Jamrock    Thursday, April 01, 2010 13:23:35   
 
TEH TEH TEH,hivi ndivyo inavyotakiwa ili kumnufaisha mwananchi wa kipato cha chini,sasa hata vijijini wanaweza kutumia mobile,safi sana,sasa nitakuwa nawasiliana na bibi kule kijijini,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: Jamrock    Thursday, April 01, 2010 13:44:31   
 
TEH TEH TEH,LAKINI MBONA HAPA MUANDISHI AMEANDIKA NUSU HABARI,AMESAHAU KWAMBA KAMPUNI YA TIGO IMENUNULIWA NA REGINARD MENGI NA KWA KUANZA NDIO KAAMUA KUTOA PUNGUZO LA BEI,TEH TEH TEH@MINA,SEMENYA,VIPI MNA LINE ZA TIGO?NINA MAANISHA MMENUNUA TIGO?WENGINE WASIJE FIKIRIA NAULIZIA MENGINE,TEH TEH TEH
 
 
Mtoa Maoni: mark.mushi     Thursday, April 01, 2010 14:03:01   
 
yea eshima yako ubuguvu,mark.mushi wa italy ndani ya nyumba,mkitaka kuisikia nyimbo ya mark.mushi wa italy ingia,www.makavulive.blogspot.com,au www.tnzncommunity.blogspot.com,au www.djchoka.blogspot.com,au www.rusumo.com au nipigie+393336989592,
 
 
Mtoa Maoni: JOSE    Thursday, April 01, 2010 14:45:42   
 
Hawa tigo nawapa hongera sana na mimi ndio maana napenda sana tigo..si ile nyingine ni mtandao wa simu.
hii ni changamoto kwa makampuni mengine ya simu.
na hii itaisaidia hata wa kipato cha chini kuwa na mawasiliano.


@Jamrock natamani nijirudie zngu Bongo.
@MINI una tumia tigo?

 
 
Mtoa Maoni: baba damy    Thursday, April 01, 2010 16:20:47   
 
Sio kweli kumbuka leo ni sikuku ya wajinga
 
 
       Jumla kuna maoni (28), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD