Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua

NewsImages/2676066.jpg
Thursday, July 30, 2009 11:38 AM
UZALISHAJI wa bia mpya ambayo haikufahamika jina lake utasimama kutokana na miundombinu kuharibika katika kiwanda cha bia cha TBL cha jijini Dar es Salam kuungua
Hayo yalisemwa jana na Mkurugenzi wa Miradi kiwandani hapo, Bw.Phocas Laswai alipokuwa akihojiwa na vyombo vya habari ofisini kwake.

Laswai amesema kuwa, kutokana na miundombinu kuharibika walikuwa wanatarajia kuzalisha bia mpya na uzalishaji wa bia hiyo utasimama kutokana na sababu kubwa ya mitambo mipya ya kuzalishia bia iliyotoka nchini Ujetumani imeharibika.

Amesema mitambo hiyo imeungua na kuleta kusimamishwa kwa uzalishwaji wa bia kwa muda mfupi hadi hapo watakaporekebisha mitambo hiyo ama kupatikana mingine.

Pia amesema sababu nyingine itakayosababisha kusimamishwa kwa uzalishaji wa bia hiyo ni kutokana kwa kuungua chupa zaidi ya million 1.6 zilizotarajiwa kuhifadhia bia hizo.

Hivyo Phocas amesema kutachukua zaidi ya wiki moja kusimama zoezi la uzalishaji bia kiwandani hapo kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea kiwandani hapo na kupelekea hasara ya mabilioni ya shilingi.

Katika moto huo uliotokea usiku wa kuamikia jana kumepelekea shenena nzima ya kuhifadhia makasha kuteketea na ilifahamika kuwa zaidi ya makasha laki mbili yaliteketea kwa moto huo

 
Na Chondoma Shabani, Dar    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: kaka    Thursday, July 30, 2009 16:03:35   
 
Kwani bia si lazima sanaaa katika maisha ya binadamu.kwani mtu akizaliwa anaanza kunywa bia.si tunajifunza ukubwani pia ukiangalia bia inamadhara makubwa katika jamii yani pombe.ukilewa unaweza kufanya mambo matatu 1.kudhini 2.kuua 3.mtamalizia wenzangu
 
 
Mtoa Maoni: ubuguvu    Thursday, July 30, 2009 23:25:03   
 
na ufe kabisa sio kusimama tu wanamaliza ngano kwa kutengeza pombe bongo inaviwanda vingi vya pombe kuliko vitu vuyengine milima mbuga zote zimekua majina ya pombe naife kwani kuna hasala gani?????

 
 
Mtoa Maoni: kaka    Friday, July 31, 2009 08:58:46   
 
How come Tanzania iwepo katika top twenty duniani hawatutaki mema hao watengenezaji wa pombe.wanataka kuliangamiza taifa la Tanzania.
 
 
Mtoa Maoni: moms016    Sunday, August 09, 2009 01:21:58   
 
hii ndio tz mazeee. tukunywe weeee tunyonye weeee.ndo maendeleo tuliojaaliwa. tunazubaishwa akili zetu alafu mizungu inakuja kiulaini (kindebwedo kabsaaa) kujichukulia rasilimali zetu..shweeyn tayp walai..matokeo yake wanaweka mikataba hali ya kuwa washakunjwa hawajui wapi wanaweka saini na nini kimeandikwa..matokeo mikataba bandia, mibov kina LICHIMONDI. hiindio faida ya ulevi viongozi nyie.
 
 
Mtoa Maoni: jane    Thursday, September 10, 2009 23:43:53   
 
yaani huko TBL ni wachaga tu ndiyo maboss! inaonyesha wachaga wanakunywa sana bia au! well i hope watatengeneza hiyo mitambo yao soon.
 
 
       Jumla kuna maoni (24), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD