Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Zain yaja na Balckberry Pre Paid
Advertisement


Monday, April 20, 2009 2:02 PM
KAMPUNI ya Simu za Mkononi ya Zain Tanzania imezindua huduma mpya itakayojulikana kwa Blackberry Pre Paid.
Uzinduzi huo umefanywa na Meneja Mawasiliano wa Zain Beatrice Singano Mallya leo jijini Dar es Salaam.

Alisema huduma hiyo ya Blackberry Pre Paid ni huduma ambayo itonufaisha wateja wa mtandao huo nchini kote.

Singino alisema Zain imezindua huduma hiyo ikiwa ni katika mwendelezo wake wa kuboresha huduma zake hapa nchini pamoja na kuwatimizia mahitaji wateja wake.

"Leo hii najisikia furaha katika kupanua huduma zetu hasa kwa wateja wetu wa Pre Paid kwa huduma zitaboreka zaidi," alisema Singano.

Alisema kwa wateja ambao watahitaji kujiungana huduma hiyo watahitajika kutoa shilingi 35,000 kwa mwezi.

Singano alisema huduma hiyo itahusu wafanyabiashara na wateja wa kawaida ambapo wateja watakao jiunga kabla ya Aprili 30 watapata mwezi mmoja bure.

Kwa upande mwingine Kaimu Mkurugenzi wa Masoko wa Zain Kevin Twisa alisema kampuni hiyo imetangaza promosheni nyingine ya kusugua na ushinde ambayo itaongeza mamilionea kuzunguka nchi nzima.

Alisema promesheni hiyo itakuwa inamapatia mteja mmoja shilingi milioni 10 kila wiki ambapo promosheni hiyo itakuwa ya miezi miwili.

Alisema mshindi wa pili atajishindia muda wa maongezi wa shilingi 100,000 ana washindi wengine 50 ambao watashindwa watajishindia muda wa maongezi wa shilingi 10,000.

 
Suleiman Msuya    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: johnson    Tuesday, November 10, 2009 10:46:43   
 
naomba kujua how can i join i have mobile phone samsung 5212
wich i hope can work on iternate

 
 
Mtoa Maoni: mzee wa falluja    Tuesday, November 17, 2009 19:42:16   
 
we pusi katupe karioakoo kisamsung chako kwa wamachinga alaa watu wanahesabu pesa wewe makaratasi matupu
 
 
Mtoa Maoni: mimi    Wednesday, March 24, 2010 15:12:43   
 
humu kweli hakuna ustaarabu, mtu anauliza mwingine anamtu\kana!!
ndugu, hii nadhani ni kwa wenye simu za bb pekee! jaribu kuwauliza zain. karibu jamiiforums dot kom, utajiskia nyumbani

 
 
Mtoa Maoni: kitoto    Saturday, April 17, 2010 11:49:58   
 
kuuliza wio ujinga...ndugu aliyejibu tusi sio ustaarabu jaribu tumia luga nzuri
 
 
Mtoa Maoni: BABU    Tuesday, April 20, 2010 12:35:00   
 
Zein wazuri lakini ni kati ya mashirika Tanzania yasiyolipa kodi.Wakiona wamesitukiwa wanabadili jina. Tanzania tutaibiwa hadi lini?.
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD