Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
Advertisement


Tuesday, April 07, 2009 7:35 AM
BENKI Kuu ya Tanzania (BOT) imesema imetoa ushauri kwa Benki ya Nation Microfinance Banki kujiunga na mfumo wa omoja switch ambayo imekuwa ikirahisha huduma ya kutoa fedha kwa wateja wake.
Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Usimamiazi wa Mabenki (BOT) Joseph Massawe wakati akizungumza na mwandishi wa habari hii jijini Dar es Salaam.

Alisema BOT ina taarifa za benki hiyo kulalamikiwa na wateja kutokana na huduma zake hivyo njia rahisi ya kutatua tatizo hilo ni kujiunga na mfumo ho ambao umeonekana kufanikiwa nchi za nje na hapa nchini kwa mabenki ambayo yamejiunga.

Massawe alisema iwapo NMB itajiunga na mfumo huo ni wazi kuwa malalamiko ambayo yamekuwa yakitokea yatapungua kama sio kuisha.

Alisema nchi nyingi zimefanikiwa katika sekta ya mabenki kwa kutumia mifumo ya kisasa ambayo inaepusha kero kutoka kwa wananchi ambao wanahitaji huduma katika taasisi hizo.

Mkurugenzi huyo alisema anaamini kuwa wazo lao kwa NMB litakuwa linafanyiwa kazi kutokana na umuhimu wake ambapo mafanikio yake yataepusha malumbano na migongano baina ya wateja na watoa huduma.

"Tumewashauri wenzetu wa NMB kujiunga na mfumo wa umoja wa switch ambao umeonekana kufanikiwa kwa baadhi ya mabenki hapa nchi na nje," alisema.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa Mifumo na Malipo (BOT) Lucy Kidunda alisema wapo kwenye mchakato wa kuhakikisha kuwa ulipaji wa hudi kwa sekta binafsi na mtu na mtu unabadilika ambapo haitazidi shilingi milioni 10.

Alisema mfumo huo wa hudi zaidi ya milioni 10 utatumika kwa taasisi za Serikali pekee lengo likiwa ni kuepuka uwizi na udanganyifu ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara.

Kidunda alisema kutokana na utaratibu wa kutoa hundi katika malipo watu wamekuwa wakidanganyana jambo ambalo linanyima sifa taasisi za benki.

Alisema watu wamekuwa wakitumia fursa hiyo kwa kuandika hundi huku akitambua kuwa katika akaunti yake haina fedha.


 
Suleiman Kipimo    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: stela    Tuesday, August 25, 2009 17:45:05   
 
siyo SWITCH ni SWIFT
 
 
Mtoa Maoni: EMANUEL URONU    Monday, October 12, 2009 14:16:08   
 
Nikiwa kama mteja wa NMB. ningependa sana kuona matatatizo madogo kama yanayoonekana sasa hivi yanakwisha au kupungua. Kwa ku2mia njia wanazo oona ni sahihi. asante
 
 
Mtoa Maoni: Bigirwa Seif    Friday, June 04, 2010 13:48:17   
 

Ni kweli msongamano utapungua kwa baadhi ya mikoa ila mikoa mingine itabaki vilevile maana umoja switch inafanya baadhi ya mikoa yenye mizunguko ya pesa ,Mwanza,Dar es salaam Arusha mikoa kama Kama kAGERA,KIGOMA n.k itabaki vile maana NMB inatumiwa na wafanyakazi wa serikalini ambao wanapata taabu kwenye foleni NMB.

 
 
Mtoa Maoni: xfiBHXFhO    Thursday, June 30, 2011 14:43:23   
 
Such a deep aneswr! GD&RVVF
 
 
Mtoa Maoni: lDoNyQHFHJyGaAU    Friday, July 01, 2011 15:20:43   
 
FZQxkS , [url=http://ncswuwceuyhk.com/]ncswuwceuyhk[/url], [link=http://caguwxipgzoh.com/]caguwxipgzoh[/link], http://cfpvqqkkbwya.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (14), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD