Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe

NewsImages/1439254.jpg
Tuesday, March 17, 2009 3:27 AM
Baada ya kuporomoka kwa dola ya Zimbabwe wananchi nchini Zimbabwe wamerudia enzi za mababu zetu kwa kubadilishana bidhaa zao kwa dhahabu, kila kitu utakipata ukitoa dhahabu kuanzia mkate mpaka mafuta ya kupikia. Jionee Mwenyewe Kwenye Video hii.
Katika hali inayosikitisha baadhi ya vijiji nchini Zimbabwe wanajipatia mahitaji yao ya kila siku kwa kutoa dhahabu kwa kila kitu wanachokihitaji.

Hii ni kuanzia mkate, mafuta ya kupikia, mpaka madumu ya kuchotea maji.

Hali hii imesababisha wananchi hao kujikita kwenye uchimbaji wa dhahabu ili waweze kupata chakula cha kuwafanya waendelee kuishi.

Mkate mmoja ( boflo ) utaupata iwapo utatoa gramu 0.1 kama hauna uwezo wa kupata dhahabu basi itabidi uwe na dola za Marekani au la utakufa kwa njaa.

Serikali ya Zimbabwe iliruhusu dola za Kimarekani na Rand za Afrika Kusini zimetumike kama fedha halali za nchi hiyo baada ya kuchoka kuchapisha noti mpya kila mwezi kutokana na dola ya Zimbabwe kupoteza kabisa thamani yake.

Noti ya mwisho kutolewa na serikali ya Zimbabwe ilikuwa ni noti ya dola ya Zimbabwe trilioni 100 ambayo ilikuwa sawa na shilingi 35,000.


Jionee Mwenyewe

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: At last some ralatnitioy in our little debate.    Tuesday, August 04, 2015 14:32:44   
 
At last some ralatnitioy in our little debate.
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD