Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia

NewsImages/1348638.jpg
Monday, March 09, 2009 6:28 AM
Mashine moja ya kutolea pesa ATM katika mji wa Bari uliopo kusini mwa Italia ilikuwa kipenzi cha watu waliominyana kupanga foleni baada ya kuwagawia fedha mara dufu ya zile ilizotakiwa kutoa kwa muda wa masaa 12.
ATM hiyo kwa masaa 12 mfululizo ilikuwa kivutio cha watu wengi waliopanga foleni ndefu kujipatia fedha hizo za bure zilizokuwa zikitolewa na mashine hiyo.

ATM hiyo iliyopo kwenye mtaa wa Tridente mjini humo ilianza kugawa mafedha hayo baada ya kutokea hitilafu kwenye mitambo yake.

Watu walipanga foleni ndefu kujipatia mafedha hayo mpaka walipohakikisha mapesa yaliyokuwa kwenye ATM hiyo zimeisha.

Watumiaji wa ATM hiyo waliamua kuwaita polisi baada ya mashine hiyo kuanza kutoa fedha kiasi kidogo kuliko kile walichotaka kutoa.

Baada ya polisi kuja ndipo shughuli ya kujichotea pesa hizo ilipoisha na wataalamu wa mitambo hiyo kuitwa kuja kuirekebisha.

Maafisa wa Benki ya ATM hiyo walikataa kusema ni kiasi gani cha fedha kilitoka kwenye ATM hiyo.

Maafisa hao walisema kwamba hasara iliyotokana na ATM hiyo itajulikana leo jumatatu baada uchunguzi wao kufanyika.

Wadau waliotumia kadi zao na kufanikiwa kuchukua pesa zaidi kuliko zilizotakiwa kutolewa wametaarifiwa kwamba watatakiwa wazirudishe fedha za ziada walizochukua.

 
    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: moms016    Sunday, October 11, 2009 04:26:35   
 
ingelikuwa tz mambo yangelinawiri masee
 
 
Mtoa Maoni: James john    Sunday, April 05, 2015 11:47:43   
 
Hiyo tunasema 1 mistake 1 goal wawa ache tu
 
 
Mtoa Maoni: A simple and intnillgeet point, well made. Thanks!    Monday, November 23, 2015 17:35:56   
 
A simple and intnillgeet point, well made. Thanks!
 
 
      
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD