Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
Advertisement


Wednesday, February 25, 2009 12:36 PM
HALMASHAURI ya Biashara ya Nje [BET] imeandaa maonyesho ya usindikaji wa chakula ili kuwawezesha na kutoa elimu kwa wajasiriamali nchini waweze kuzalisha bidhaa bora.
Maonyesho hayo yameanza jana jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Maonyesho vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba.

Maonyesho hayo yameandaliwa sambamba na semina ya Ubora wa Usalama wa Chakula yaliyofunguliwa leo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Masoko Bi Joyce Mapunjo.

Akizungumza na vyombo vya habari, Afissa Masoko na Utafiti wa BET, Asha Malanga alisema kuwa semina hiyo itawashirikisha pia watu wa Viwango nchini [TBS], Mamlaka ya Chakula na Dawa [TFDA] pia na Mizani na Vipimo na Atomic Energy Commision.

Alisema maonyesho hayo sambamba na semina hizo zinatarajiwa kuchukua muda wa wiki moja ili kuwawezesha wajasiriamali wapate elimu iliyo bora ya usindikaji wa vyakula nchini.

Alisema katika semina hiyo washiriki kwa mtu mmoja mmoja watapata fursa kujua namna anavyoweza kusaidia jamii kujua viwango na ubora unaotakiwa katika kuisaidia jamii.

Alisema lengo ya semina hiyo pia pamoja na kuwapa fursa wajasiriamali na wasindikaji wa chakula kuendesha shughuli zao kitaalamu zaidi.


 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: KGVhqdgof    Friday, July 01, 2011 08:22:29   
 
Posts like this brighten up my day. Thanks for tnaikg the time.
 
 
Mtoa Maoni: MyslTmXoOCXPNhx    Monday, July 04, 2011 19:54:05   
 
ZFqMqC , [url=http://vbnukebawyrb.com/]vbnukebawyrb[/url], [link=http://btiujmrwddlh.com/]btiujmrwddlh[/link], http://ykqjksbnlvyg.com/
 
 
Mtoa Maoni: xSkVTNlAu    Tuesday, September 04, 2012 16:52:08   
 
I can't beelvie I've been going for years without knowing that.
 
 
Mtoa Maoni: uhOmtNxwxkJpdIj    Thursday, September 06, 2012 22:57:55   
 
eh04iC , [url=http://sbejqfqgyysv.com/]sbejqfqgyysv[/url], [link=http://efhilwcptmyq.com/]efhilwcptmyq[/link], http://atcdcvcgcagj.com/
 
 
Mtoa Maoni: NpoYbSIstOxNZ    Saturday, September 08, 2012 13:32:55   
 
s1N6wL , [url=http://gpwcimmcptga.com/]gpwcimmcptga[/url], [link=http://mgtdoxujakuk.com/]mgtdoxujakuk[/link], http://njmukppymrbr.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (16), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Je unahitaji kompyuta zenye ubora wa kimataifa toka Uingereza?: Namba za simu Uingereza 00447404851682 Namba za simu Tanzania: 00255783054508 au 00255762486583
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD