Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara

NewsImages/1066186.jpg
Tuesday, February 10, 2009 11:27 PM
MMEA wa zao la mbuyu unatakiwa kuzalishwa kwa wingi nchini kutokana na kugundulika kwa kutoa faida nyingi kwa binadamu na rasilimali ya nchi
Rai hiyo imetolewa hivi karibuni Bungeni Dodoma, na Wizara ya Maliasili na Utalii, kupitia Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Ezekiel Maige.

Maige alisema kuwa mmea huo, umegundulika kuwa na faida nyingi sana katika maisha ya kila siku ya binadamu hasa watanzania.

Alisema kutokana na kugundulika kwa faida nyingi kwenye zao hilo Serikali kupitia wizara ina mikakati ya kuongeza uzalishaji wa zao hilo ili kuweza kuongeza uchumi mzuriwa nchi na ni zao la biashara.

Alizitaja faida zinazotokana na mmea huo, na kusema mbuyu unaweza kutoa mafuta ya kupikia, kujipaka, kulainisha ngozi na kuzifanya kucha zimeremete na kuwa ngumu.

Vilevile amesema mmea huweza kutumika kama chakula kinachotoa Vitamini B, Vitamin A inayosaidia kuona macho kwa ufasaha, Vitamini C inayosaidia ukuaji wa fizi, meno, ngozi na misuli.

Alisema kuwa katika tafiti zilizofanyika na wataalamu mbuyu unaweza kutumika kama dawa ya kutibu magonjwa kama vile kisukari, surua, ngozi, meno ,fizi, kuhara na magonjwa ya moyo.

Na unga wa majani na matunda ya mmea huo hutumika kama kiungo cha kuongeza ladha kwenye chakula.

Na matunda yake hutumika kutengenezea juisi nchini katika mikoa mingi nchini zaidi mikoa ya Singida, Dodoma na Shinyanga, na baadhi ya wananchi hutumia matunda hayo kujikwamua kiuchumi kwa kutengenezea biashara ya Icecream.

Pia mbuyu hutoa nyuzinyuzi ambazo hutumika viwandani kutengeneza kamba, pia mti wenyewe wa mbuyu hutumika kutengeneza karatasi na boti za kuvulia samaki.

Hivyo kwa kufuatia faida hizo Waziri Maige amesema Serikali inahimiza utunzaji wa mti huo kutokana na umuhimu wake kwa kuhifadhi mazingira.

Na alisema kuwa wakala wa mbegu nchini wanafanya majaribio ya kuotesha mbegu za mti huo kwenye baadhi ya mikoa ambayo haina miti hiyo kuona kama itaweza kuzalishwa katika mashamba ya kilimo.

 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Mangilile    Thursday, July 08, 2010 23:49:26   
 
Wazo zuri kuendeleza mbuyu ila uchunguzi makini ufanyike isije tukawa tunajenga nyumba ndogo kwa gaharama za kuharibu nyumba kubwa! nikiwa na maana muoto wa asilia haupaswi kuchezewa, mazingira asilia ni muhimu, sasa kama mkoa hauoti mbuyu nawe ukaupeleka mbuyu kwa nguvu kuna uwezekano kutokea mabadiliko ya tabia nchi, ingawa tunatarajia mabadiliko mema ila hadhari iwepo yasitokee tusioyatarajia. kama tulivyofulia kwa kuagiza janga la kunguru wa India AKI wa unguja tunalipia gharama sasa
 
 
Mtoa Maoni: dnnSXqcnaYmMMWA    Friday, July 01, 2011 03:21:02   
 
Thanks for sahring. What a pleasure to read!
 
 
Mtoa Maoni: LERxTcfdTtizDr    Tuesday, September 04, 2012 18:58:11   
 
And I thought I was the sensbile one. Thanks for setting me straight.
 
 
Mtoa Maoni: GgKrfIXuAziY    Thursday, September 06, 2012 23:13:29   
 
padd2V , [url=http://advbtujnzbev.com/]advbtujnzbev[/url], [link=http://mhiauclwravk.com/]mhiauclwravk[/link], http://jyeouwfwszht.com/
 
 
Mtoa Maoni: EWobRYkQ    Saturday, September 08, 2012 13:42:15   
 
T34PyZ , [url=http://zrxpidamvtcq.com/]zrxpidamvtcq[/url], [link=http://hghpcczhgbdt.com/]hghpcczhgbdt[/link], http://sspuwnuclkbi.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (17), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD