Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania

NewsImages/996778.jpg
Wednesday, February 04, 2009 2:35 PM
MIFUKO ya plastiki ipo mbioni kupigwa marufuku endapo watengenezaji wa mifuko hiyo wataendelea kutengeneza mifuko hiyo kinyume na sheria.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ,Mazingira Dk Batilda
Burian, alisema kuwa serikali ipo mbioni kukataza matumizi ya mifuko
ya plastiki endapo wafanyabiashara na watengenezaji wa mifuko
wataendelea kutengeneza bila kuzingatia sheria inayodhibiti
matengenezo ya mifuko hiyo.

Alisema kuwa watengenezaji wa mifuko hiyo walikuwa wanakiuka
utaratibu wa utengenezaji wa mifuko hiyo ambayo inaonekana kuwa ni
kero jijini.

Sheria hiyo inalenga mifuko inayotakiwa kuwa katika matumizi iwe ni
ile ya microns 30 na si microns 100 ambayo ndio inayoharibu mazingira.

Hatahivyo watengenezaji hao wametakiwa kufuata sheria ya
kutengeneza mifuko ambayo itakayooza au kuteketezwa kwa urahisi
bila kuathiri mazingira ili kuondoa kero ya mifuko ya plastiki kuzagaa
mijini kama ilivyo sasa.

Alisema serikali wametoa muda kwa wenye viwanda hivyo kufuata
sheria hiyo iliyowekwa ili kuepukana na tatizo hili linaloonekana kuwa
kero jijini na kinyume na hapo haitatoa muda tena kwa kero hiyo.

 
Na Chondoma Shdabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: ibrahim    Thursday, November 12, 2009 08:51:56   
 
ni kweli kuwa uchafuzi wa mazingira kwa kiasi kikubwa hupelekewa na uchakazi wa takataka katika maeneo yetu ambayo yametuzunguka hivyo kama wizara imeamua hivyo ni vyema kusimamia vyema sheria hizo tena kwa kila mtu sio kwa wale wanyone tu .
 
 
Mtoa Maoni: h, ismail    Tuesday, December 08, 2009 14:35:47   
 
je siasa zenu mpaka lini?mana muda mrefu mmeongelea jambo hili je kuna haja gani yakuendelea kuongelea jambo hili?mifuko ipi serikali imeitoa itumike wananchi washindwa kuitumia?kwa nini siasa pasipo na siasa?
 
 
Mtoa Maoni: BABU    Tuesday, April 20, 2010 12:24:23   
 
Tanzania tunaweza sana kutunga sheria zetu lakini ukija kwenye utekelezaji tunapata "0". Hakuna utekelezaji shauri ya kukaa na vikongwe kwenye Wizara.Mbunge anakuwa Waziri toka enzi ya Nyerere unategemea uhamasishe wenzake namna gani kwenye utekelezaji.JK weka wabunge vijana na wasomi madarakani.Achana na kina Stephen Wasira wamechoka.
 
 
Mtoa Maoni: HASSAN    Friday, December 10, 2010 18:30:18   
 
Aisei!
Jamani, nimekosa la kusema kweli... Kama mtu akitaka kununua dagaa, atatunia nini?

 
 
Mtoa Maoni: SiwiXxIXbom    Wednesday, September 05, 2012 09:52:43   
 
AFAIC that's the best awnser so far!
 
 
       Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD