Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Uzalishaji wa Bia Waongezeka, chibuku washuka

NewsImages/911946.jpg
Monday, January 26, 2009 12:27 PM
SOKO la ushindani la biashara ya nje ya nchi unakuja kwa kasi kutokana na uzalishaji wa vinywaji vya nchini kuongezeka maradufu
Ongezeko la uzalishaji kwa vinywaji umeongezeka kwa kipindi cha kuanzia mwaka 2005 hadi kufikia mwaka 2007.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Masoko, Mary Nagu, alithibitisha kwa kusema kuwa ongezeko la uzalishaji liliongezeka kwa vinywaji vya bia na konyagi.

Alisema kwa upande wa bia waliweza kuzalisha lita milioni 216,604 hadi kufikia lita milion 310,194 sawa na asilimia 43.

Kwa upande wa Konyagi pia uzalishaji uliongezeka, mwaka 2005 ziliweza kuzalishwa lita milioni 4,488 na kwa mwaka 2007 ziliweza kuzalishwa lita zipatazo milion 5,622 tofauti na miaka ya nyumba uzalishaji ulikuwa chini.

Aliongezea kwa kusema kuwa uzalishaji kwa upande wa pombe aina ya Chibuku ulishuka kutoka lita milioni 11,106 kwa mwaka 2005 hadi kufikia lita milioni 10,320 mwaka juzi.

 
Na Chondoma Shabani, Dar es Salaam    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: AhkjxkqJ    Friday, July 01, 2011 09:21:36   
 
I thuhogt finding this would be so arduous but it?s a breeze!
 
 
Mtoa Maoni: lBKRpXhfcFaBt    Monday, July 04, 2011 19:47:42   
 
xYDFzH , [url=http://hgeioxwtardq.com/]hgeioxwtardq[/url], [link=http://iydpwwacexur.com/]iydpwwacexur[/link], http://hjiijwczcpqc.com/
 
 
Mtoa Maoni: ulRPhoVGZcHGwSq    Wednesday, September 05, 2012 00:16:31   
 
Stay with this guys, you're helpnig a lot of people.
 
 
Mtoa Maoni: PdRmXDxuDHQaYr    Thursday, September 06, 2012 23:43:47   
 
PZaVfX , [url=http://czshvrsyffct.com/]czshvrsyffct[/url], [link=http://gfzfeuznnanm.com/]gfzfeuznnanm[/link], http://flivrgxfupgv.com/
 
 
Mtoa Maoni: bxkwCziQL    Saturday, September 08, 2012 14:04:07   
 
9BV2hu , [url=http://ifkeqmubvihf.com/]ifkeqmubvihf[/url], [link=http://dgnpcxzhbybh.com/]dgnpcxzhbybh[/link], http://jbnwonnzpyyo.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (10), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD