Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo

NewsImages/823258.jpg
Bibi Huang akionyesha mimba yake
Saturday, January 17, 2009 3:16 AM
Bibi wa miaka 92 ambaye alipata mimba wakati wa ujana wake miaka 60 iliyopita anaingia leba kwaajili ya kujifungua mtoto huyo baada ya miaka yote hiyo kupita.
Huang Yijun hivi sasa akiwa na umri wa miaka 92 alienda hospitali baada ya kusumbuliwa na maumivu ya tumbo ndipo tatizo lake lilipowaacha madaktari midomo wazi.

Daktari aliyemfanyia uchunguzi bibi huyo alipigwa na butwaa baada kugundua kuwa bibi huyo mwenye umri wa miaka 92 alikuwa ana mimba.

Huang alizidi kumpagawisha daktari huyo baada ya kutoa maelezo ya mimba hiyo.

Huang alisema kuwa mwaka 1948 alipokuwa na ujauzito mtoto wake alifia tumboni. Baada ya kutakiwa atoe dola 150 na hospitali aliyopelekwa ili kukitoa kiumbe hicho tumboni, Huang alikataa kutoa kiasi hicho cha fedha na kuamua kurudi nyumbani kwake.

Kwa kupuuzia kutoa kiumbe hicho alichokuwa nacho tumboni Huang alinyamaza kimya bila kuwaambia ndugu zake kwa miaka yote hiyo.

Ukweli wa mambo umekuja kujulikana baada ya miaka 60 baada ya bibi huyo kuzidiwa na maumivu makali ya tumbo.

"Katika miaka yangu 40 ya udaktari wangu sijawahi kukutana na jambo kama hili, kiumbe kilicho tumboni inabidi kiondolewe haraka iwezekanavyo, kwa muda wote huo Huang kuwa hai pia ni muujiza mwingine"alisema daktari wa bibi huyo.

 
Source: News Agencies    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: Twila    Thursday, June 18, 2009 16:01:34   
 
wewe bibi kiboko yao, miaka 60 na maiti tumboni
 
 
Mtoa Maoni: Jas-a-mine    Friday, July 31, 2009 12:33:12   
 
dah,hyo kali,bibi itabidi akatoe fungu la kumi kanisani,kwasababu Mungu yu mwema kwake....
 
 
Mtoa Maoni: wende    Wednesday, October 21, 2009 16:32:44   
 
NO NO NO! there is no way!!!!!!
bibi inabidi aseme vizuri, haiwezekani. huenda katika siku za karibuni, alisikia nanihihi halafu akananihihi. kwa umri wake anaona aibu kusema ukweli. nini kilimzuia asife???????????????????

 
 
Mtoa Maoni: soudshs    Saturday, October 31, 2009 18:58:25   
 
Ama kweli hii ni kali pole sana
 
 
Mtoa Maoni: hamida    Friday, November 06, 2009 14:27:45   
 
Dah hiyo ni mpya na mambo hayo bongo huku hadimu kweli
 
 
       Jumla kuna maoni (20), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD