Kompyuta na Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mamia wamiminika kwenye ATM inayotoa hela mara dufu

NewsImages/819402.jpg
Wateja waliomiminika kwenye Bank hiyo kuwania pound za bure
Friday, January 16, 2009 11:38 PM
Zaidi ya watu 100 walipanga mstari kwenye mashine ya kutolea fedha ATM baada ya kugundua mashine hiyo ilikuwa ikitoa kiasi cha fedha mara mbili ya kilichotakiwa kwa muda wa masaa manne kabla tatizo kugundulika.
Inafikiriwa kwamba maelfu ya pound yalitolewa katika mashine hiyo kwa muda wa masaa manne kabla ya tatizo katika ATM hiyo ya kampuni ya Sainsbury iliyopo Welshpool,Powys nchini Uingereza kugundulika.

Bank ya Sainsbury imesema haina mpango wa kuwataka wateja wake kurudisha hela hizo.

Mashine hiyo ilianza kuvuta watu jumatatu jioni baada ya kugundulika mashine hiyo ilikuwa ikitoa 'bingo'.

Msemaji wa benki hiyo Natasha Virtue alisema "ATM yetu ya Welshpool ilikuwa ikitoa pound 20 kwa kila pound 10 iliyotakiwa kutoa".

"Hii ilitokana na matatizo ya kiufundi ambayo tumeishayashughulikia, lilikuwa tatizo la muda mfupi tu" alisema msemaji wa benki hiyo.

"Ilikuwa ni bahati ya wateja wetu usiku wa jumatatu, tungependa kuweka wazi kuwa hatuna mpango wa kuwadai" alimalizia kusema msemaji wa benki hiyo.

 
Source: News Agencies    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: h    Tuesday, December 08, 2009 14:54:45   
 
hata kama unavutia wateja sikiivyo jomba haipo na haitatokea benk yanamana hiyo hapa duniani.wizi mtupu.
 
 
Mtoa Maoni: Dulla    Friday, April 09, 2010 10:18:17   
 
Japo ni drama, benki zakwetu zinastahiki kuiga. Kwa sababu kama biashara huru, basi hii ya fedha hapa nchini. wanagaragara wanavyotaka. Hakuna hata regulator.
 
 
Mtoa Maoni: rkuwaFvIhVCA    Wednesday, September 05, 2012 02:36:46   
 
Cool! That's a clveer way of looking at it!
 
 
Mtoa Maoni: ZnHrAgbBkNbJzog    Thursday, September 06, 2012 23:53:56   
 
bJXgnh , [url=http://ghmyjzidtxvc.com/]ghmyjzidtxvc[/url], [link=http://kvimflxiazrd.com/]kvimflxiazrd[/link], http://rfpfvaziusnu.com/
 
 
Mtoa Maoni: qVAxajaQCHOifUT    Saturday, September 08, 2012 14:10:51   
 
sMOEEi , [url=http://cryrhnesrors.com/]cryrhnesrors[/url], [link=http://ovefvlvaprec.com/]ovefvlvaprec[/link], http://kdprrgoxnzbe.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (12), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD