Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191

NewsImages/808798.jpg
Billy Robins
Friday, January 16, 2009 1:52 AM
Mtoto mnene kuliko wote duniani aliyekuwa na kilo 381 amefanikiwa kupunguza nusu ya kilo za mwili wake baada ya madaktari kumfanyia upasuaji kuondoa mafuta kwenye mwili wake.
Billy Robbins (19),kutoka Houston, Texas ambaye mwanzoni alikuwa na kilo 381 alionywa na madaktari kuwa akiendelea kula sana moyo wake utasimama kufanya kazi zake.

Madaktari walimfanyia upasuaji Billy na kufanikiwa kuondoa kilo kadhaa za mafuta kutoka kwenye tumbo lake.

Mtoto huyo hivi sasa ana kilo 190 zikiwa ni nusu ya kilo alizokuwa nazo mwanzo. Mama wa mtoto huyo alilaumiwa kutokana na matatizo ya unene yaliyompata mwanawe.

Baada ya kumpoteza mtoto wake wa kwanza kutokana na kansa ya ubongo mama huyo alihamisha mapenzi yake yote kwa Billy kwa kumlisha vyakula mbali mbali zaidi ya uwezo wa mtoto huyo.

Bila ya kujua kwamba alikuwa akimuua mtoto wake bila kujua, mama huyo alisema Billy alikuwa akipenda sana kula pizza, chipsi na hamburger.

Billy alifanikiwa kupoteza kilo 31 punde tu baada ya upasuaji wa mwanzo kumalizika.

Kwa sasa Billy anaendelea na matibabu yake ya kupunguza uzito.

 
Source: News Agencies    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: wende    Wednesday, October 21, 2009 16:13:36   
 
wazazi kupenda mwanao si lazima umsindilie chakula, mtaua bila kukusudi, na kujuta bure. unaweza kuonyesha upendo wako kwa mwanao kwa njia nyingi.
 
 
Mtoa Maoni: soud    Thursday, November 05, 2009 19:41:05   
 
nakuunga mkono Wende
 
 
Mtoa Maoni: hamida     Friday, November 06, 2009 14:21:20   
 
kweli kabisa yaani kumpenda mtoto kushindilia mavyakula yote hayo kiukweli sio ishu.
 
 
Mtoa Maoni: Grace    Saturday, November 07, 2009 15:39:44   
 
tuache kufikiri kuwa mtoto akiwa mnene ndio afya tunamsababishia magonjwa makubwa ambapo ni hatari kwa afya yake.
 
 
Mtoa Maoni: mina    Sunday, November 29, 2009 16:10:48   
 
sasa unene huo ata boy friend kweli atamtaka mana mmmh hatari kweli kweli, wapi bhai?
 
 
       Jumla kuna maoni (16), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
More health news
> Azaliwa na Ugonjwa wa Ajabu Aona Dunia Chini Juu
> Lipstick ni hatari kwa wanawake wajawazito na watoto
> Kikwete azindua jengo la upasuaji wa moyo
> Watoto wenye vichwa vikubwa watatibiwa bure
> MOI yapata vifaa thabiti vya upasuaji ugonjwa wa Uti wa
> Bajeti Ndogo ni chanzo cha vifo vya Malaria
> Malaria bado Tishio Tanzania-Waziri
> Wagonjwa 25 wa Moyo Wamekwenda India leo
> Muhimbili Yapata Vipimo Vipya
> Ukerewe Yatikiswa na Ugonjwa wa Minyoo na Kichocho
> Baby With Extra Legs Protruding From Buttocks
> 'Man mountain' From 46st virgin to gym hunk
> Bibi wa miaka 92 ana mimba ya tangia mwaka 1948 mpaka leo
> Mtoto mnene kuliko wote dunia apungua kilo 191
> Jaribio Ya Chanjo ya Ugonjwa wa Kipindupindu Yaja
> Wachangia Lita 67 za Damu
> Boy has foot removed from brain
> 10-Pound Hairball Pulled From Girl's Stomach
> HIV illegal immigrant may have infected more than 400
> Planting the seeds of malaria control
> Smoking riskier for women's hearts

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD