Kompyuta na Monitors, Laptop toka Triple B Computers, Email: triplebcomputers@gmail.com
   
 
Member's Login
Username
Password
Not a member? Sign Up
            Sign Out

 
 
Uhaba wa Mafuta Wasambaaa hadi Mikoani
Advertisement


Wednesday, January 14, 2009 1:19 PM
Katika hali isiyo ya kawaida uhaba wa mafuta ulioukabili jiji la Dar es Salaam umeanza kuenea mikoa mbali mbali nchini.
Mafuta yaliadimika katika jiji la Dar es salaam kuanzia mwishoni mwa wiki iliyopita na hadi kufikia leo mafuta yanapatikana kwa tabu sana katika vituo vichache sana.

Hatua hiyo imekuja baada ya EWURA kutangaza kuwa mafuta aina ya Petrol yauzwe hadi kufikia 1,166 kwa lita na Dizel iuzwe kwa 1,271 kwa lita tofauti na bei ya awali ya Sh 1,450 hadi 1,600 kwa lita, uamuzi huo ulisababisha kizaazaa kutokana na wauza mafuta kutouafiki.

Shida ya mafuta katika mikoa ya Kilimanjaro na Mbeya imechangia mafuta kupatikana kwa tabu sana jijini kote.

Sasa tatizo hili limeanza kuenea hadi mikoani. Hadi sasa mikoa ambayo imeathirika zaidi na ukosefu wa mafuta ni Kilimanjaro na Mbeya.

 
Na Chondoma Shabani    
Mtumie Rafiki Yako
  Comments    Add your Comment

Mtoa Maoni: mzee    Sunday, January 17, 2010 18:06:30   
 
hawa wauzaji wanapandisha sana bei zao, wakati mafuta zipo grade "o".. zinaongezewa maji(sio original) naishukuru serikali kwa kupunguza bei za mafuta. na pia naomba serikali iaanze kushuulikia kuhusu uongezaji wa maji kwenye mafuta. na ikiwatambua basi iwapige faini
 
 
Mtoa Maoni: moosa    Sunday, March 28, 2010 10:21:12   
 

EWURA...ipo hoi,,hapo mwanzo haikuonekana wakati BP na SHELL ndio makampuni yalikua yana leta mafuta,,,,sasa leo zipo karibu 8 kampuni hizo za watanzania ndio EWURA inapiga vita?????

 
 
Mtoa Maoni: bKdNYfQLDHyHXfz    Tuesday, September 04, 2012 21:49:19   
 
So that's the case? Quite a rvelaeiton that is.
 
 
Mtoa Maoni: ZoSCbyhKOTNyzAJ    Thursday, September 06, 2012 23:26:01   
 
VOj5xj , [url=http://wkhzmvaywpuy.com/]wkhzmvaywpuy[/url], [link=http://rjjrbyflgcln.com/]rjjrbyflgcln[/link], http://plptqtmirwew.com/
 
 
Mtoa Maoni: foJwBjZBfwnO    Saturday, September 08, 2012 13:51:54   
 
QE3AZ4 , [url=http://wrrvhucxkmuk.com/]wrrvhucxkmuk[/url], [link=http://zoffsprubjxa.com/]zoffsprubjxa[/link], http://cmjrvjopyetp.com/
 
 
       Jumla kuna maoni (8), Soma maoni yote
Unakaribishwa kuchangia maoni yako
Jina Lako    *
Maoni Yako *
 
*** Unaruhusiwa kutuma maoni yako yoyote yale. Tafadhali tumia lugha nzuri, maoni yenye kukashifu watu na yasiyofaa kwa jamii hayataruhusiwa. ***

*** Maoni yanayotolewa hapa ni mawazo binafsi ya Mtoa Maoni
Nifahamishe.com Haihusiki na maoni yatakayotolewa ***
Habari zaidi za biashara na uchumi
> Benki ya Vijana kuzinduliwa
> Jishindie Milioni 3 Kila Siku na Vodacom
> Precision Air yaanza safari za Bukoba
> Precision Air yazindua nauli maalumu ya Sunrise
> Zain sasa ni Airtel
> Nokia Yatoa Simu Zinazochajiwa na Baiskeli
> TBL yapigwa faini kuvuruga ushindani wa kibiashara
> Gharama za huduma za simu zazidi kupungua
> Uzalishaji wa Bia Mpya TBL Wasimama Baada ya Mitambo Kuungua
> Ewura yashtua wabunge kwa kuwa na matumizi makubwa
> Zain yaja na Balckberry Pre Paid
> Wakulima wa embe wasaidiwa milioni 126/-
> BOT, NMB ijiunge na umoja switch kuondoa kero
> Soko la samaki laingiza bilioni mbili
> Serengeti Breweries yatunzwa tunzo ya dhahabu
> VIDEO - Dhahabu Zatumika Kununulia Mkate Zimbabwe
> ATM 'Yapagawa' na Kuwajaza Watu Mapesa Italia
> Wafanyabiashara Watakiwa Kujitangaza
> BET Yatoa Elimu Kwa Wajasiliamali Nchini
> Wengi hawajui kama simu za zamani zinaweza kutumika kutengeneza vitu vingine
> Mmea wa Mbuyu Unatakiwa Kuzalishwa Kwa Wingi- Wizara
> Arusha Thomson Safaris named among 2009 Best Adventure Travel Companies on Earth
> Mifuko ya Rambo kupigwa marufuku Tanzania
> Uuzaji wa Pamba Nje Marufuku
> Uzalishaji Korosho Utashuka

...Habari Zaidi

 

Advertisements
Tangaza Hapa Email: sales@nifahamishe.com
Habari Zilizosomwa Sana
Photo Gallery
Photo Album

 Huku si Kujitakia kifo?
Random Photo

 Kipindi na maliza mwng primary schl nikiwa na my dream
Habari Mpya Mpya
> Korea yasimamisha safari kuingia Kenya
> Marekani yaishambulia ISIS licha ya Onyo
> Waislamu Waanza Mfungo wa Ramadhan
> Kilichoinyima Siri ya Mtungi tuzo ya Afrika
> Ni Azam bingwa Bara 2013/2014
> BREAKING NEWS" Mzee Muhidin Gurumo hatunaye tena maishani"
> Muendelezo wa majina 201
> Majina ya watu 201 walioteuliwa na Rais
> Ukumbi wa Bunge la Katiba wakamilika
> Mgomo wa wafanyabiashara waingia siku ya tatu leo kupinga mashine EFD